Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,851
- 6,305
Akikujia in box usiache kushare na wakulungwa!Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , nimeitika, nimeona ulikuwa umeniulizia, sema!Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
We mzee si ameshasahau, toka mwaka jana.Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , nimeitika, nimeona ulikuwa umeniulizia, sema!
P
Huwezi amini bandiko hili ndio nimeliona leo!.We mzee si ameshasahau, toka mwaka jana.
Kama unaweza mfikia mpe faraja, hayuko sawa mentally.Huwezi amini bandiko hili ndio nimeliona leo!.
P
Angalau kwa sasa yuko a bit better, kuna issue napanga kuifanya na Madaraka, kama yuko Msasani au Butiama nitaomba kumuona, najua familia huwa inazuia kwasababu ya hali yake, mimi nita insist, mtu kama huyu hatakiwi kutengwa na kufungiwa, anahitaji compassion kumpatia watu to talk to.Kama unaweza mfikia mpe faraja, hayuko sawa mentally.
Unadhani Madaraka atakubali mimi nijiite kaka,nifanye issue na mtu yeyote ya kumpeleka mental hospital?Angalau kwa sasa yuko a bit better, kuna issue napanga kuifanya na Madaraka, kama yuko Msasani au Butiama nitaomba kumuona, najua familia huwa inazuia kwasababu ya hali yake, mimi nita insist, mtu kama huyu hatakiwi kutengwa na kufungiwa, anahitaji compassion kumpatia watu to talk to.
P
Brother, napitia kwa Madaraka kwasababu ndiye anayetambulika, ila nitaomba kukuona na kuzungumza na wewe, na nita insist, hivyo hakuna issue ya kama Madaraka atakuba au la, nitakuona, tutaonana na tutazungumza.Unadhani Madaraka atakubali mimi nijiite kaka,nifanye issue na mtu yeyote ya kumpeleka mental hospital?
Lakini choko,tena na tena,wanaenda kwa Madaraka wanamwambia ," Andrew amefanya makosa,tunaomba ruksa kwako tumchukulie hatua"
Poppy Poppy Hatonn , nilikuambia nitamtafuta Madaraka kwa issue nyingine kabisa wala haikuhusu wewe!.Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Haya nimeyasemea wapi?Pascal Mayalla anasema kwamba , with a smile on his face,atawatafuta familia yangu,,atawashauri kwamba mimi ni dangerous lunatic, lazima nipelekwe mental hospital.
Mimi ni nani na kwa uwezo gani kuwaonya The First Family most respected in Tanzania?Na,anawaonya familia yangu,he will not take " no" for answer.
Yaani mimi ni chombo cha dola au mamlaka to arrest?Kwa sababu kama wakikataa suggestion yake,he will arrest them all.
Mkuu Maxence Melo , huo uzi wa Poppy Hatonn , usiufute wala usimuondoe jf, kwa hali anayopitia sasa at 73, jf ndio the only hope, comfort and the one and only refuge that is keeping him on, otherwise bila jf, depression would have eaten him alive na ingekuwa imeisha msindikiza kulee... kitambo!, hivyo let him vent as much as he wishes, kwa mtu wa aina hii, kwa kadri anavyo vent, ndivyo anavyo calm down!.Sasa,I am a civilized person. Sitaki kuanza kutukana.
Wewe Mr. Mello,hebu tu niondoe hii Jamii Forums.
Tena aseme yote bila kusaza.Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , nimeitika, nimeona ulikuwa umeniulizia, sema!
P