Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla kamuacha Mshana kwa kila kuanzia hoja nyepesi mpaka hoja fikirishi. Mayalla ana uwezo mkubwa wa kumfanya msomaji aendelee kusoma tena kwa kutumia lugha isiyoudhi Wala kejeli .

Mayalla ni trend reader ,ana uwezo wa kubashiri kitu kutokana na matukio na kikatokea kweli ,hicho ni kipawa ila Mshana hana huo uwezo na tabiri zake huwa kinyume kwa sababu ni ramli
 
Mbona husemi Mshana yuko kambi gani? Kumbuka tunajua yuko kambi gani. After all Mshana atabaki kuwa yeye vile vile Pascal atabaki kuwa Pascal
 

Mwenye tatizo hapa Ni wewe na unaonekana hugonjwa wako hauna tiba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Excellent response
 
Kijana gani anaemkubari mshana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana hata kingereza hajui ametudanganya Buhari kafa kwa corona kumbe ni mtu mwingne aliyekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo Haya nishajua karata yako umeitupia wapi.
 
Mshana hana unafiki na anachukia uovu wa CCM toka moyoni ila paskali pamoja na mazuri yake ana unafiki na ishu zilizomshusha ni ile aliyosema eti dreva wa lisu ndie aliempiga lisu risasi na ile ishu ya usnich kwa kabendera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…