[emoji87][emoji87][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji124]
Jr[emoji769]
ni kweli kabisa, Mshana hayupo Chama TawalaNa Mshana ana uwezo wa kushawishi. Pia si MWANA CCM.
Ni yeye me nimemuona physicallyUna unakika gani kuwa hio ni picha yake?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote wapo vizuri, ila Mshana Jr" namkubali zaidi maana ni mwepesi ktk kudadavua mada zake vizuri haswa za ulozi japo kipindi hiki manabii wote Covid-19 imewalaza chali sijui mafuta yameisha ?.
Mshana Jr" 9/10
Pascal 3/10
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaliwa jicho kenge wewe
Unaliwa jicho kenge wewe