huyu jamaa hayuko huru kama zamani alishanunuliwa na team lowasa,
Kumbe Allah ndie analeta maradhi.
Do you think we need to waste time kuwabembeleza hao watu kwa njia hio? We need to act yaani siku moja tunaamka tu na kulianzisha, basi ndio adabu itawafika
Naam, na uhai wako, na uzima wako na mauti yako, ni yeye pekee ndiye muweza. Jisomee;
Matayo 27
46 Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, "Eli, Eli, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" mwita Eliya."
Hiyo hiyo Kiarabu:
46ونحو الساعة التاسعة صرخ يسوع بصوت عظيم قائلا ايلي ايلي لما شبقتني اي الهي الهي لماذا تركتني.
Source: ??? 27 Arabic: Smith & Van Dyke
Muulize ajuae Kiarabu, ni nini hicho? Illahi, Illahi = Allah ni Allah, na Illahi ni Allah wangu.
Hata Yesu alimlilia Allah alipofikwa na mazito. Unaona ajabu nini?
Mkuu KING COBRA, mwanzilishi wa kipindi cha Kiti Moto sio mimi, mwanzilishi ni kijana mmoja anaitwa Ali Oki, ni mtoto wa Sheikh Omari, yeye na Sheikh Jabir walianzisha studio ya kwanza kabisa ya video nchini Tanzania, JO Traders.Wakati wa Mkapa Nakumbuka PASCAL MAYALLA alianzisha Kipindi Cha KITIMOTO ambapo watendaji kadhaa na viongozi wa serikali walihojiwa kuhusiana na mambo mbali mbali sasa tunaelekea katika uchaguzi 2015 na kuna watu wengi sana wanataka madaraka lakini umma hauwafahamu. Pia kuna mambo mengi sana yanafanyika serikalini kiasi cha kutuhumiana wao kwa wao huku wakilindwa ili chama kiendelee kutawala
Mkuu KING COBRA, mmoja wa wamiliki wa Masai Studio Ally Omar Oki ni member humuMkuu KING COBRA, mwanzilishi wa kipindi cha Kiti Moto sio mimi, mwanzilishi ni kijana mmoja anaitwa Ali Oki, ni mtoto wa Sheikh Omari, yeye na Sheikh Jabir walianzisha studio ya kwanza kabisa ya video nchini Tanzania, JO Traders.
Watoto wao Ally Oki, Farid Jabir, waka team up na two Goans, Jove Gonsalves na Eric Fernandez wakaanzisha Masai Studio, ndio waendeshaji wa Kiti Moto, mimi nilikuwa ni a Talk Show Host only wa Kitimoto.
Kuna kipindi kama Kiti Moto, kitawajia hewani soon.
P
Mkuu KING COBRA, Ali Oki is no more!.Mkuu KING COBRA, mwanzilishi wa kipindi cha Kiti Moto sio mimi, mwanzilishi ni kijana mmoja anaitwa Ali Oki, ni mtoto wa Sheikh Omari, yeye na Sheikh Jabir walianzisha studio ya kwanza kabisa ya video nchini Tanzania, JO Traders.
Watoto wao Ally Oki, Farid Jabir, waka team up na two Goans, Jove Gonsalves na Eric Fernandez wakaanzisha Masai Studio, ndio waendeshaji wa Kiti Moto, mimi nilikuwa ni a Talk Show Host only wa Kitimoto.
Kuna kipindi kama Kiti Moto, kitawajia hewani soon.
P