Pascal Mayalla, mchambuzi mahili, tudadavulie hili

Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI makubwa. Juzi chama hicho hicho wanamdhihaki kwa bashasha hizo hizo.
Unalisemeaje hili? Tuna la kujifunza hapa kwetu na Afrika kwa ujumla?
Pascal Mayalla
Ngoja tujaribu kuchangia wakati Kaka Pascal anajiandaa.
Hakuna nchi zenye unafiki kama hizi nchi za Africa, Mugabe alipata zaidi ya asilimia 95 za watu wanafiki ambao mara nyingi hujaa ushabiki na kutojitambua. maamuzi ya wengi katika sanduku la kura ni ya kishabiki na huendeshwa na mihemko ya muda bila kufikiri shida na changamoto zinazoweza kutokea baadae. Wananchi walio wengi ktk nchi hizi za Afrika wakifurahishwa kwa kauli au hadaa za muda mfupi hubadilika na kukubaliana ndiyo maana wale wale ambao walimpa Mugabe zaidi ya asilimia 95 leo ndiyo utawaona barabarani wakipiga ngoma na kucheza na kutoa kila lawama kwa Mugabe. Sijajua tatizo hasa ila nafikiri kuna tatizo la uelewa pia shida ya kutojiamini kwa watu walio wengi, udhaifu huu ndiyo huwapa kiburi viongozi uchwara na kufanya wapendavyo bila upinzani wowote.
 
Africa anayepiga kura haamui chochote...anayeamua nani awe mshindi ni anaye hesabu kura...note that [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu The retired, kwanza I'm humbled kuitwa mchambuzi mahiri, ila kabla sijachangia naomba kwanza kuwa mkweli, mimi sio mchambuzi mahiri kihivyo kwa sababu uchambuzi nimejifunzia humu jf kutoka kwa wachambuzi mahiri wa ukweli, akina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mchambuzi, Mag3, WoS, FF, Malaria Sugu, Luteni, just to mention but few.

Kuna kitu kinaitwa The African Democracy, rais anashinda urais kwa matokeo yanayotangazwa na Tume 'huru' za Kiafrika. Wengi wa viongozi wa Africa ni ma dikteta ambao hutumia style ya populism to stay in power. Subiria matokeo ya Magufuli 2020 ndio utanielewa.

Hawa populist presidents of Africa, wanatawala kwa mkono wa chuma, kwa kujifanya wanapendwa sana, ila wanapendwa kiunafki tuu, but in realty wanachukiwa sana kwa sababu watu wa kawaida wanateseka sana chini ya utawala wao, hivyo siku wakiondolewa madarakani, watu wa kawaida watashangilia sana. Nchi ya kwanza inayoongoza kwa kukua Uchumi wake ni Ethiopia, pia ndio inayoongoza kwa miundombinu, wana hadi treni ya umeme, lakini raia wake ni masikini wakutupwa!. Wale wahamiaji haramu ambao kila siku miili yao inaopolewa baharini, ni Wa Ethiopia!.

Kuhusu hawa populist presidents, nimewazungumza hapa
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Hata hapa Tanzania, Rais Magufuli anashangiliwa
sana kwa kununua ndege, anajenga barabara za juu kwa juu, anajenga Reli ya SGR, Uchumi wa Tanzania unategemea kilimo. Wakulima ndio 80% ya Watanzania, katika hiyo miradi mikubwa, hakuna mradi wowote wala uwekezaji katika sekta tegemeo la wengi ambayo ni sekta ya kilimo, Wakulima hawawezi kupanda hizo ndege, kusafiria treni ya umeme, au kupitia hizo barabara za juu kwa juu. Hivyo miradi yote mikubwa Magufuli
anayoitekeleza, haina any short visible direct impact kwa asilimia 80% ya Watanzania, ikitokea CCM, kikamfuta uanachama John Pombe Magufuli, hivyo kupoteza urais, au Bunge limuondoa madarakani kwa kukiuka katiba, amini usiamini
wale asilimia 80% watajitokeza mabarabarani kushangilia, kama Zimbabwe.

Mimi mwenyewe kama Mtanzania anaye litakia mema taifa hili, lazima atakubali Magufuli, kama ninavyoeleza hapa
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
na nilishauri mara kadhaa humu tumpatie muda wa kutosha kama Kagame, Museveni na Mugabe.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Paskali[/QUOTE
Pascal Hatabiriki Kabisa yani hasomeki
 
Uko sahihi, njaa, uelewa mdogo, ujinga na sometimes upumbavu vimetawala sana wafrika. Lakini mbona hata wasomi wanafanya hayo hayo? Haya ya kununuliwa na CCM unayaelezaje kwa wasomi kama akina Masha, Propesa Kitila etc?
 
Wanasiasa wanohama hama ni kielelezo tosha cha kushindwa kuelewa nini wanakipigania, wanaingia kwenye upinzani kusaka vyeo na sifa lakini hawapo kutetea maslahi ya wananchi, Kinachosikitisha na kuthibitisha udhaifu wao ni pale wanapo toka kwemye vyama na kutoa kasoro nyingi na kuponda. Kwamfano ndugu Kafulira alisaidia sana serikali katika kuibua rushwa na kashfa nyingi zilizokuwa zinafanywa lakini aelewe wazi kuwa alifanya hivyo akiwa kwenye Chama cha upinzani, nje ya hapo au akiwa CCM hatafanya hivyo na akifanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho wa siasa zake zinazoyumba
 
Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI makubwa. Juzi chama hicho hicho wanamdhihaki kwa bashasha hizo hizo.
Unalisemeaje hili? Tuna la kujifunza hapa kwetu na Afrika kwa ujumla?
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla na mwenzie jery muro! sio wa kuwauliza vitu kama hivyo! unategemea nini???
 
Africa anayepiga kura haamui chochote...anayeamua nani awe mshindi ni anaye hesabu kura...note that [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kura zinaweza kuibiwa tu zikiwa chache zikiwa nyingi na wananchi wakafunguka hata huyo anayehesabu kura hataweza kuiba, kama kura zinaibiwa zingeibiwa Arusha na Dar es Salaam, watu wa mikoa hiyo wameshaelewa ndiyo maana vyama vilivyoaminiwa na wananchi vilipata kura. Tatizo ni la uelewa, na njaa vinginevyo hakuna anayeweza kumzuia mwananchi katika maauzi yake
 
huwezi kuwa unakula ugali alafu ukawa na akili ya kuchanganua mambo nasema tena ni ngumu mno.

afrika siasa zetu ni za ushabiki na sio za hoja, mtu anazaliwa anamkuta mama ccm nae anafata huko huko. hata kama ana pata mabaya yapi hawezi kosoa maana ni chama cha urithi
 
Mkuu The retired, kwanza I'm humbled kuitwa mchambuzi mahiri, ila kabla sijachangia naomba kwanza kuwa mkweli, mimi sio mchambuzi mahiri kihivyo kwa sababu uchambuzi nimejifunzia humu jf kutoka kwa wachambuzi mahiri wa ukweli, akina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mchambuzi, Mag3, WoS, FF, Malaria Sugu, Luteni, just to mention but few.

Kuna kitu kinaitwa The African Democracy, rais anashinda urais kwa matokeo yanayotangazwa na Tume 'huru' za Kiafrika. Wengi wa viongozi wa Africa ni ma dikteta ambao hutumia style ya populism to stay in power. Subiria matokeo ya Magufuli 2020 ndio utanielewa.

Hawa populist presidents of Africa, wanatawala kwa mkono wa chuma, kwa kujifanya wanapendwa sana, ila wanapendwa kiunafki tuu, but in realty wanachukiwa sana kwa sababu watu wa kawaida wanateseka sana chini ya utawala wao, hivyo siku wakiondolewa madarakani, watu wa kawaida watashangilia sana. Nchi ya kwanza inayoongoza kwa kukua Uchumi wake ni Ethiopia, pia ndio inayoongoza kwa miundombinu, wana hadi treni ya umeme, lakini raia wake ni masikini wakutupwa!. Wale wahamiaji haramu ambao kila siku miili yao inaopolewa baharini, ni Wa Ethiopia!.

Kuhusu hawa populist presidents, nimewazungumza hapa
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Hata hapa Tanzania, Rais Magufuli anashangiliwa
sana kwa kununua ndege, anajenga barabara za juu kwa juu, anajenga Reli ya SGR, Uchumi wa Tanzania unategemea kilimo. Wakulima ndio 80% ya Watanzania, katika hiyo miradi mikubwa, hakuna mradi wowote wala uwekezaji katika sekta tegemeo la wengi ambayo ni sekta ya kilimo, Wakulima hawawezi kupanda hizo ndege, kusafiria treni ya umeme, au kupitia hizo barabara za juu kwa juu. Hivyo miradi yote mikubwa Magufuli
anayoitekeleza, haina any short visible direct impact kwa asilimia 80% ya Watanzania, ikitokea CCM, kikamfuta uanachama John Pombe Magufuli, hivyo kupoteza urais, au Bunge limuondoa madarakani kwa kukiuka katiba, amini usiamini
wale asilimia 80% watajitokeza mabarabarani kushangilia, kama Zimbabwe.

Mimi mwenyewe kama Mtanzania anaye litakia mema taifa hili, lazima atakubali Magufuli, kama ninavyoeleza hapa
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
na nilishauri mara kadhaa humu tumpatie muda wa kutosha kama Kagame, Museveni na Mugabe.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Paskali

"The people who cast the votes dont decide an election, the people who count the votes do"

Joseph Stalin
 
Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI makubwa. Juzi chama hicho hicho wanamdhihaki kwa bashasha hizo hizo.
Unalisemeaje hili? Tuna la kujifunza hapa kwetu na Afrika kwa ujumla?
Pascal Mayalla
wazimbabwe wana siri kubwa. Mugabe, Jeshi na huyo jamaa yake wote wako pamoja. Husitegemee mabadiliko au husitegemee upinzani waingoe ZANU PF
 
Back
Top Bottom