Pascal Mayalla, mchambuzi mahili, tudadavulie hili

Pascal Mayalla, mchambuzi mahili, tudadavulie hili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,970
Reaction score
104,339
Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI makubwa. Juzi chama hicho hicho wanamdhihaki kwa bashasha hizo hizo.
Unalisemeaje hili? Tuna la kujifunza hapa kwetu na Afrika kwa ujumla?
Pascal Mayalla
 
Ninamkubali sana huyu jamaaa
 
wananchi wanashangilia kwa sababu hawakumchagua bali aliwekwa na majeshi kwa mbinu zote (bao la mkono)

mnapiga kura na kujiandaa kushangilia lakini anayetangazwa ni tofauti na matarajio yenu na hakuna mnaloweza kufanya

ccm ina mwisho wake tu, mfano ni zimbabwe
 
ROBERT MUGABE

upload_2017-11-22_12-6-53.png

The leader of Zimbabwe since its independence in 1980, Robert Mugabe (1924-) is one of the longest-serving and, in the latter years of his reign, most infamous African rulers. Trained as a teacher, he spent 11 years as a political prisoner under Ian Smith’s Rhodesian government. He rose to lead the Zimbabwe African National Union movement and was one of the key negotiators in the 1979 Lancaster House Agreement, which led to the creation of a fully democratic Zimbabwe. Elected prime minister and later president, he embraced conciliation with the country’s white minority but sidelined his rivals through politics and force. Beginning in 2000, he encouraged the takeovers of white-owned commercial farms, leading to economic collapse and runaway inflation. After a disputed election in 2009 he reluctantly agreed to share some power with the rival Movement for Democratic Change.

ROBERT MUGABE: FROM TEACHER TO FREEDOM FIGHTER

Robert Gabriel Mugabe was born February 21, 1924, in Katuma, a Jesuit mission station 50 miles west of the Southern Rhodesian capital. His father, Gabriel Matibili, was a carpenter from Nyasaland (later Malawi). His mother, Bona, belonged to the prominent Shona ethnic group.

Did You Know?

Originally known as Southern Rhodesia and later as Zimbabwe Rhodesia, Zimbabwe was renamed upon gaining independence from Britain in 1980. The name comes from a Shona term for the kingdom that controlled the area between 1220 and 1450.

Mugabe graduated from Katuma’s St. Francis Xavier College in 1945. For the next 15 years he taught in Rhodesia and Ghana and pursued further education at Fort Hare University in South Africa. In Ghana he met and married his first wife, Sally Hayfron.

In 1960 Mugabe joined the pro-independence National Democratic Party, becoming its publicity secretary. In 1961 the NDP was banned and reformed as the Zimbabwe African Peoples Union (ZAPU). Two years later Mugabe left ZAPU for the Zimbabwe African National Union (ZANU, later ZANU-PF), his present political home.

ROBERT MUGABE: PRISON AND EXILE

In 1964 ZANU was banned by Rhodesia’s colonial government and Mugabe was imprisoned. A year later, premier Ian Smith issued a Unilateral Declaration of Independence to create the white-ruled state of Rhodesia, short-circuiting Britain’s plans for majority rule and triggering international condemnation.

In prison Mugabe taught English to his fellow prisoners and earned multiple graduate degrees by correspondence from the University of London. Freed in 1974, Mugabe went into exile in Zambia and Mozambique, and in 1977 he gained full control of ZANU’s political and military fronts. He adopted Marxist and Maoist views and received arms and training from Asia and Eastern Europe, but he still maintained good relations with Western donors.

ROBERT MUGABE: THE CREATION OF ZIMBABWE

A 1978 accord between Smith’s government and moderate black leaders paved the way for the election of Bishop Abel Muzorewa as prime minister of the state known as Zimbabwe Rhodesia, but it lacked international recognition because ZANU and ZAPU had not participated. In 1979 the British-brokered Lancaster House Agreement brought the major parties together to agree to majority rule while protecting the rights and property of the white minority. After winning new elections on March 4, 1980, Mugabe worked to convince the new country’s 200,000 whites, including 4,500 commercial farmers, to stay.

In 1982 Mugabe sent his North Korean-trained Fifth Brigade to the ZAPU stronghold of Matabeleland to smash dissent. Over five years, 20,000 Ndebele civilians were killed as part of a campaign of alleged political genocide. In 1987 Mugabe switched tactics, inviting ZAPU to be merged with the ruling ZANU-PF and creating a de facto one-party authoritarian state with himself as the ruling president.

ROBERT MUGABE: THE ROAD TO TYRANNY

During the 1990s Mugabe was reelected twice, became a widower and remarried. In 1998 he sent Zimbabwean troops to intervene in the Democratic Republic of Congo’s civil war—a move many viewed as a grab for the country’s diamonds and valuable minerals.

In 2000 Mugabe organized a referendum on a new Zimbabwean constitution that would expand the powers of the presidency and allow the government to seize white-owned land. Groups opposed to the constitution formed the Movement for Democratic Change (MDC), which successfully campaigned for a “no” vote in the referendum.

That same year, groups of individuals calling themselves “war veterans”—though many were not old enough to have been part of Zimbabwe’s independence struggle—began invading white-owned farms. Violence caused many of Zimbabwe’s whites to flee the country. Zimbabwe’s commercial farming collapsed, triggering years of hyperinflation and food shortages that created a nation of impoverished billionaires.

ROBERT MUGABE: RECENT YEARS
After a 2008 election marred by ZANU-PF-sponsored violence, Mugabe was pressured by his regional allies to form an inclusive government with MDC leader Morgan Tsvangirai as vice president. Even while implementing the accord, Mugabe kept up the pressure, subjecting MDC parliamentarians to arrest, imprisonment and torture.

Mugabe has no obvious anointed successor, making it unclear what direction the country will take after its only post-independence leader dies or finally loses an election.
 
Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI makubwa. Juzi chama hicho hicho wanamdhihaki kwa bashasha hizo hizo.
Unalisemeaje hili? Tuna la kujifunza hapa kwetu na Afrika kwa ujumla?
Pascal Mayalla
Mkuu The retired, kwanza I'm humbled kuitwa mchambuzi mahiri, ila kabla sijachangia naomba kwanza kuwa mkweli, mimi sio mchambuzi mahiri kihivyo kwa sababu uchambuzi nimejifunzia humu jf kutoka kwa wachambuzi mahiri wa ukweli, akina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mchambuzi, Mag3, WoS, FF, Malaria Sugu, Luteni, just to mention but few.

Kuna kitu kinaitwa The African Democracy, rais anashinda urais kwa matokeo yanayotangazwa na Tume 'huru' za Kiafrika. Wengi wa viongozi wa Africa ni ma dikteta ambao hutumia style ya populism to stay in power. Subiria matokeo ya Magufuli 2020 ndio utanielewa.

Hawa populist presidents of Africa, wanatawala kwa mkono wa chuma, kwa kujifanya wanapendwa sana, ila wanapendwa kiunafki tuu, but in realty wanachukiwa sana kwa sababu watu wa kawaida wanateseka sana chini ya utawala wao, hivyo siku wakiondolewa madarakani, watu wa kawaida watashangilia sana. Nchi ya kwanza inayoongoza kwa kukua Uchumi wake ni Ethiopia, pia ndio inayoongoza kwa miundombinu, wana hadi treni ya umeme, lakini raia wake ni masikini wakutupwa!. Wale wahamiaji haramu ambao kila siku miili yao inaopolewa baharini, ni Wa Ethiopia!.

Kuhusu hawa populist presidents, nimewazungumza hapa
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Hata hapa Tanzania, Rais Magufuli anashangiliwa
sana kwa kununua ndege, anajenga barabara za juu kwa juu, anajenga Reli ya SGR, Uchumi wa Tanzania unategemea kilimo. Wakulima ndio 80% ya Watanzania, katika hiyo miradi mikubwa, hakuna mradi wowote wala uwekezaji katika sekta tegemeo la wengi ambayo ni sekta ya kilimo, Wakulima hawawezi kupanda hizo ndege, kusafiria treni ya umeme, au kupitia hizo barabara za juu kwa juu. Hivyo miradi yote mikubwa Magufuli
anayoitekeleza, haina any short visible direct impact kwa asilimia 80% ya Watanzania, ikitokea CCM, kikamfuta uanachama John Pombe Magufuli, hivyo kupoteza urais, au Bunge limuondoa madarakani kwa kukiuka katiba, amini usiamini
wale asilimia 80% watajitokeza mabarabarani kushangilia, kama Zimbabwe.

Mimi mwenyewe kama Mtanzania anaye litakia mema taifa hili, lazima atakubali Magufuli, kama ninavyoeleza hapa
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
na nilishauri mara kadhaa humu tumpatie muda wa kutosha kama Kagame, Museveni na Mugabe.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Paskali
 
Mkuu The retired, kwanza I'm humbled kuitwa mchambuzi mahiri, ila kabla sijachangia naomba kwanza kuwa mkweli, mimi sio mchambuzi mahiri kihivyo kwa sababu uchambuzi nimejifunzia humu jf kutoka kwa wachambuzi mahiri wa ukweli, akina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mchambuzi, Mag3, WoS, FF, Malaria Sugu, Luteni, just to mention but few.

Kuna kitu kinaitwa The African Democracy, rais anashinda urais kwa matokeo yanayotangazwa na Tume 'huru' za Kiafrika. Wengi wa viongozi wa Africa ni ma dikteta ambao hutumia style ya populism to stay in power. Subiria matokeo ya Magufuli 2020 ndio utanielewa.

Hawa populist presidents of Africa, wanatawala kwa mkono wa chuma, kwa kujifanya wanapendwa sana, but in reality wanachukiwa sana kwa sababu watu wa kawaida wanateseka sana chini ya utawala wao, hivyo siku wakiondolewa madarakani, watu wa kawaida watashangilia sana.

Hata hapa Tanzania, Rais Magufuli anashangiliwa
sana kwa kununua ndege, anajenga barabara za juu kwa juu, anajenga Reli ya SGR, Uchumi wa Tanzania unategemea kilimo. Wakulima ndio 80% ya Watanzania, katika hiyo miradi mikubwa, hakuna mradi wowote wala uwekezaji katika sekta tegemeo la wengi ambayo ni sekta ya kilimo, Wakulima hawawezi kupanda hizo ndege, kusafiria treni ya umeme, au kupitia hizo barabara za juu kwa juu. Hivyo miradi yote mikubwa Magufuli
anayoitekeleza, haina any short visible impact kwa asilimia 80% ya Watanzania, ikitokea CCM, kikamfuta uanachama John Pombe Magufuli, hivyo kupoteza urais, au Bunge limuondoa madarakani kwa kukiuka katiba, amini usiamini
wale asilimia 80% watajitokeza mabarabarani kushangilia, kama Zimbabwe.

Mimi mwenyewe ni muumini wa Magufuli na nilishauri mara kadhaa humu tumpatie muda wa kutosha kama Kagame, Museveni na Mugabe.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Paskali
naona katikati ya uchambuzi wako umeng'ata sana,ulipogundua kuwa unang'ata zaidi,mwishoni ukashtuka...ukaanza kupuliza ili unayemng'ata asishtuke.what a smart move.[emoji23] [emoji23]

huna tofauti na nape kwenye ile latest video clip yake inayozunguka kule instagram na kwenye ma group ya WhatsApp.
 
Pascal Mayalla hana tofauti na wazimbambwe kwa unafki hajulikani kama ni popo au ndege

Ha ha haaaaa kabisaaaaa
Kwa kweli Kaka P amezidi kuwa hivyo kizaidi.. natumaini ana kazi yake inampa furaha kwa anayofanya maana.. hata mimi haswa awamu hii simuelewi hizo zake
 
UCHAMBUZI GANI WA OVYO OVYO HUO !!!
Mugabe anakubArika saaaana tena saaanaa,thathimini yangu angalia Jeshi lilivyompa heshima ila kinachojitokeza ni hiki

wanzimbabwe wanamtaka huyu
Emmerson mnangagwa
upload_2017-11-22_12-31-22.jpeg

Hawamtaki huyu
Grace Mugabe
images
 
"Wengi wa viongozi wa Africa ni ma dikteta ambao hutumia style ya populism to stay in power. Subiria matokeo ya Magufuli 2020 ndio utanielewa." By Pascal Mayalla, Nimeipenda buuree!! My Salute to you Brother!
 
Back
Top Bottom