Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,777
- 12,182
Mkuu usimvunjie heshima kiongozi wetu Pascal! Huwa anafanya analysis nzuri sana ingawa mara moja moja huwa anavaa miwani ya kuvizia uteyuzi hapo ndipo huwa anateleza, otherwise, Pascal ni nguli! Nilitaka kushangaa Pascal awe amepita hapa bila ku-react? Kumbe ameona!Nguli nani? Pascal? Kweli nchi hii ya kishenzi in terms of education, na Pascal ni nguli? Kwa vigezo labda vya CCM