Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize

Naona kuna watoto humu wanjua Pascal kwa kujibizana naye jf ila hawana historia yake. Alichoharibu hapa jf ni kuegemea upande mmoja wa siasa wakati hapa watu ni wafia vyama.
Kwa upande wa Star TV vipindi vya kuangalia ukaelimika hapa bongo kati yake ni jocho letu, kibarazani na kile Cha Aloyce Nyanda. Tatizo muda wa vipindi ni vifupi.
Ushauri kwako Pascal achana na Jiwe kwa sasa, ungana na Dotto urudie ile enzi yako.
 
Fine, kwa wewe! May be kwa standards za CCM then you are justified to admire him!
Polepole Ndugu yangu...Acha kusema 'nchi ya kishenzi'....you are not being fair...Paschal Mayala is a knowledgeable person ..unaweza kuwa humpendi lakini Mayala Yuko vizuri kwa mambo mengi mno...binafsi huwa ninamu-admire...Hana elimu kubwa Sana ingawa nadhani ana digrii lakini anajua mambo mengi...ni nguli kwa kiwango chake na hata Cha baadhi yetu....wewe unawatambua akina Nani hapa kuwa ni nguli? Kuwa nguli wa uchambuzi inahitaji uwe mfuatiliaji wa issues mbalimbali na somehow to be objective in your analysis..kwangu Mimi Mayalla anakidhi baadhi ya vigezo..
 
Nimefurahi sana kumuona Dotto Bulendu, huyo ni mtangazaji niliyemiss kwa kutokuwepo kwenye vipindi vya Star TV. Nimpongeze hata Paskali kwa kumshawishi Dotto aendelee kuwepo kwenye utangazaji. Huyo Doto ni mwanahabari anayefahamu vyema kazi ya uandishi wa habari na anaifanya bila hofu wala kujipendekeza. Hata Paskali alikuwa muandishi mzuri, kabla ya awamu hii kuingia akageuka muabudu sanamu, msaka chochote, na anayehofia kuisema ukweli, aidha kwa hofu, kusaka maslahi binafsi au vyote kwa pamoja. Udhaifu huu wa Paskali sikuwahi kuuona kwa Dotto Bulendu.
Imekuwaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye doctor siku hizi au kwa vile ana njaa kaamua kujiingiza huko kwenye hiyo taaluma
Mwandishi na mchambuzi Nguli na mdau mhimu wa JF Ndugu yetu Pascal Mayalla yupo ndani star tv kwenye kipindi cha jicho letu ndani ya habari kikiongozwa na Ndugu Dotto Bulendo.

Karibu tumsikilize akichambua kuhusu gonjwa hatari la Corona jinsi tunavyolichulia na jinsi tunavyopambana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom