Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize

Nguli nani? Pascal? Kweli nchi hii ya kishenzi in terms of education, na Pascal ni nguli? Kwa vigezo labda vya CCM
Mkuu usimvunjie heshima kiongozi wetu Pascal! Huwa anafanya analysis nzuri sana ingawa mara moja moja huwa anavaa miwani ya kuvizia uteyuzi hapo ndipo huwa anateleza, otherwise, Pascal ni nguli! Nilitaka kushangaa Pascal awe amepita hapa bila ku-react? Kumbe ameona!
 
Ku
Kwa level yako sawa, not me! Wewe unamuona nguli, kwa vile thinking level yako na yake ni sawa!
Kuna msemo usemao, na Leo naanza kuuelewa,= ukiona wanakujadili ujuwe unakubalika,

Mkuu, sasa wewe hujaanza hata kujadiliwa hapa kama akina Mayala, unataka kulazimisha wewe uko juu kuliko Mayala Kwa lipi?.. inawezekana kweli wewe uko juu, lakini, kwenye taasisi au kitengo unachofanya wewe ni mla rushwa wa kutisha, utafahamikaje sasa, ikiwa ili ufanikiwe na kufahamika zaidi ni namna ambavyo mchango wako unaigusa jamii

Wewe unaisaidiaje jamii, maana hata elimu zetu hizi bila kuzitumia kusaidia jamii kwenye vitengo tuliopo, hazitusaidii ni Bora hata ambaye hakusoma kabisa,
 
Fine, kwa wewe! May be kwa standards za CCM then you are justified to admire him!
Sawa...unaweza ukawa sahihi...kwa standards za CCM....Kama ni hivyo inaelekea Yuko nguli kwa standards za upinzani. Ikiwemo Chadema....I am just imagining huyo nguli wa standards za upinzani na hasa Chadema vigezo vyake ni vipi...Kama Yuko nguli kwa standards za CCM then yule wa Chadema vigezo vyake vinaweza kuwa narudia vinaweza kuwa: 'Anayejitambua'; anayeishambulia serikali ya awamu ya tano kwenye uchambuzi wake; anayechambua kwa kuainisha kuwa JPM ni dikteta; ambaye kwenye uchambuzi wake anasema polisi waliopo ni wa CCM; anayeainisha kuwa nchi hii ni ya mabavu na watu wanatekwa na watu 'wasiojulikana'; anayemsifu Pombeo na Trump wa USA na kuwaomba waiwekee vikwazo TZ; nayesema kuwa Tume. Huru ya uchaguzi ni lazima iundwe; anayechambua kwa kuainisha kuwa demokrasia hakuna Tanzania: anayechambua kwa kusema hatua za serikali dhidi ya Corona ni za ovyo kabisa...Anayesema kuwa miradi mikubwa ya serikali Kama ya ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege ni ya ovyo kabisa...na kadhalika...huyo ndiye nguli wa uchambuzi
kwa standards za upinzani...
 
Naona unazidi kumpa darasa la bure, nadhani ataelewa tu.

Tatizo vijana tunachambua cv za watu kwa jicho la kikada.

Philipi Mangula ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa sifa yake kuu ni Nguli wa siasa za Tanzania anazijua nje ndani.

Maalim Sefu ni Nguli wa siasa za Tanzania, ni watu ambao wamebobea kwenye maeneo, hivyo na Mbowe.
 
Polepole Ndugu yangu...Acha kusema 'nchi ya kishenzi'....you are not being fair...Paschal Mayala is a knowledgeable person ..unaweza kuwa humpendi lakini Mayala Yuko vizuri kwa mambo mengi mno...binafsi huwa ninamu-admire...Hana elimu kubwa Sana ingawa nadhani ana digrii lakini anajua mambo mengi...ni nguli kwa kiwango chake na hata Cha baadhi yetu....wewe unawatambua akina Nani hapa kuwa ni nguli? Kuwa nguli wa uchambuzi inahitaji uwe mfuatiliaji wa issues mbalimbali na somehow to be objective in your analysis..kwangu Mimi Mayalla anakidhi baadhi ya vigezo..
Kwani mkuu kuwa na elimu kubwa ni mpaka uwe na nini? Kwangu Pascal namwona ni msomi kwa kiwango chetu kama nchi! Mtu mwenye degree huyo ni msomi ndiyo maana inaitwa elimu ya juu! Hata hao wenye madegree 7 mbona wanaonekana wapumbavu tu? Chunguza wateule wa mkulu ndiyo utathibitisha hili, utafikri kichwani yamejaza kamasi!
 
Polepole Ndugu yangu...Acha kusema 'nchi ya kishenzi'....you are not being fair...Paschal Mayala is a knowledgeable person ..unaweza kuwa humpendi lakini Mayala Yuko vizuri kwa mambo mengi mno...binafsi huwa ninamu-admire...Hana elimu kubwa Sana ingawa nadhani ana digrii lakini anajua mambo mengi...ni nguli kwa kiwango chake na hata Cha baadhi yetu....wewe unawatambua akina Nani hapa kuwa ni nguli? Kuwa nguli wa uchambuzi inahitaji uwe mfuatiliaji wa issues mbalimbali na somehow to be objective in your analysis..kwangu Mimi Mayalla anakidhi baadhi ya vigezo..
Kwani mkuu kuwa na elimu kubwa ni mpaka uwe na nini? Kwangu Pascal namwona ni msomi kwa kiwango chetu kama nchi! Mtu mwenye degree huyo ni msomi ndiyo maana inaitwa elimu ya juu! Hata hao kwenye madegree 7 mbona wanaonekana wapumbavu tu? Chunguza wateule wa mkulu ndiyo utathibitisha hili, utafikri kichwani yamejaza kamasi!
 
Anayejitambua'; anayeishambulia serikali ya awamu ya tano kwenye uchambuzi wake; anayechambua kwa kuainisha kuwa JPM ni dikteta; ambaye kwenye uchambuzi wake anasema polisi waliopo ni wa CCM; anayeainisha kuwa nchi hii ni ya mabavu na watu wanatekwa na watu 'wasiojulikana'; anayemsifu Pombeo na Trump wa USA na kuwaomba waiwekee vikwazo TZ; nayesema kuwa Tume. Huru ya uchaguzi ni lazima iundwe; anayechambua kwa kuainisha kuwa demokrasia hakuna Tanzania: anayechambua kwa kusema hatua za serikali dhidi ya Corona ni za ovyo kabisa...Anayesema kuwa miradi mikubwa ya serikali Kama ya ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege ni ya ovyo kabisa...na kadhalika...huyo ndiye nguli wa uchambuzi
kwa standards za upinzani...
Wapi kasema hayo tangu aitwe Dodoma. Before that, alikuwa to some level, acceptable one by tanzanian standards, very objective..., analytical and the like! with the advent of Jiwe na kuitwa DDM, he lost track!
 
Nimefurahi sana kumuona Dotto Bulendu, huyo ni mtangazaji niliyemiss kwa kutokuwepo kwenye vipindi vya Star TV. Nimpongeze hata Paskali kwa kumshawishi Dotto aendelee kuwepo kwenye utangazaji. Huyo Doto ni mwanahabari anayefahamu vyema kazi ya uandishi wa habari na anaifanya bila hofu wala kujipendekeza. Hata Paskali alikuwa muandishi mzuri, kabla ya awamu hii kuingia akageuka muabudu sanamu, msaka chochote, na anayehofia kuisema ukweli, aidha kwa hofu, kusaka maslahi binafsi au vyote kwa pamoja. Udhaifu huu wa Paskali sikuwahi kuuona kwa Dotto Bulendu.
Naam, hata mie nilifarijika sana kumuona anchor Dotto Bulendu, ila nilipomwona Paskali upande wa Dar naye ni mwongozaji, nikashangaa kidogo. Ni leo tu, au na siku zijazo tutawaona?
Kuhusu NONDO zenyewe, huwa namkubali sana Nevil Meena, anapasuaga miamba bila kupepesa macho. Binafsi sioni kama habari za vifo kupewa kipaumbele ni tatizo. Ndiyo hali halisi. Kwamba kuna nchi wanashuhudia vifo 400 au 700 kwa siku, hiyo ni habari kuu. Chini yake tuambiwe za yule ambaye hana vifo ila walioambukizwa 13 tu. Hata Marekani walipokuwa hawajaanza kupima kwa wingi idadi ya wagonjwa ilikuwa ndogo

Kujiamini ni sawa lakini twende na data mbaya ili zibaki kuwa data za wenzetu yasije yakatukuta tukapeana moyo halafu ikawa kinyume. Hongera Neville Meena.

Ila kwa kweli nilimzoea Mtozi Alois Nyanda. Halafu hanaga ubaguzi. Uwe upinzani uwe CCM, yeye anachotaka ni hoja kuntu.
 
Ku
Kuna msemo usemao, na Leo naanza kuuelewa,= ukiona wanakujadili ujuwe unakubalika,

Mkuu, sasa wewe hujaanza hata kujadiliwa hapa kama akina Mayala, unataka kulazimisha wewe uko juu kuliko Mayala Kwa lipi?.. inawezekana kweli wewe uko juu, lakini, kwenye taasisi au kitengo unachofanya wewe ni mla rushwa wa kutisha, utafahamikaje sasa, ikiwa ili ufanikiwe na kufahamika zaidi ni namna ambavyo mchango wako unaigusa jamii

Wewe unaisaidiaje jamii, maana hata elimu zetu hizi bila kuzitumia kusaidia jamii kwenye vitengo tuliopo, hazitusaidii ni Bora hata ambaye hakusoma kabisa,
Kwa uandishi wako huu, wewe ni reject! in all spheres! Sikujui, hunijui and then you make conclusive statements based on this thread! Eti mla rushwa and the like!
 
Naam, hata mie nilifarijika sana kumuona anchor Dotto Bulendu, ila nilipomwona Paskali upande wa Dar naye ni mwongozaji, nikashangaa kidogo. Ni leo tu, au na siku zijazo tutawaona?
Kuhusu NONDO zenyewe, huwa namkubali sana Nevil Meena, anapasuaga miamba bila kupepesa macho. Binafsi sioni kama habari za vifo kupewa kipaumbele ni tatizo. Ndiyo hali halisi. Kwamba kuna nchi wanashuhudia vifo 400 au 700 kwa siku, hiyo ni habari kuu. Chini yake tuambiwe za yule ambaye hana vifo ila walioambukizwa 13 tu. Hata Marekani walipokuwa hawajaanza kupima kwa wingi idadi ya wagonjwa ilikuwa ndogo

Kujiamini ni sawa lakini twende na data mbaya ili zibaki kuwa data za wenzetu yasije yakatukuta tukapeana moyo halafu ikawa kinyume. Hongera Neville Meena.

Ila kwa kweli nilimzoea Mtozi Alois Nyanda. Halafu hanaga ubaguzi. Uwe upinzani uwe CCM, yeye anachotaka ni hoja kuntu.
Hili la wote kuwa waongozaji huenda wameungana, Kama ni hivyo tutarajie hoja za nguvu kwa mstakabali wa Taifa.
 
Back
Top Bottom