Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize

Sijui kama niko sahihi lakini nimetoka salimia familia narudi kituo cha kazi ,airtime DSTV nimekuta imeisha ,kawaida TBC inakua hewani na ile Dish Tv ,but kwa sasa ni dish channel tu no TBC.
King'amuzi changu hakijakata hivyo tbc ipo.

Kama kifurushi kikiisha wanakata hadi tbc jua hali mbaya.

Amini saizi karibia michezo yote imesimama duniani, hivyo watu wengi hawaoni umhimu wa kulipia kwa wakati ama vifurushi vikubwa maan hakuna jipya..

Kwa hiyo lazima wakate zote ili uone umhimu wa kulipia.
 
Watu wengi wana chuki za wazi kwa Pascal,labda ni kwakuwa sehemu kubwa ya maisha yetu imejawa na visasi,kwamba kwa nini awe yeye na siyo mimi. Hatuna kabisa sprit of appreciation,roho zetu zimejawa na vihoro.
 
Back
Top Bottom