Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

Bora waambiwe, wanaboa sana badala ya kushusha mambo muhimu tutingishe vichwa tusio wana siasa wanaleta ya ajabu. Wakiendelea hivi, kura za kushinda za 2020 wasahau kabisa tena % itashuka kupita 2015.
hilo usahau yaani opposition kila uchaguzi idadi ya wabunge inaongezeka, unajua kwanini? wajinga wengi wanazeeka na kufa huku vijana wanao jitambua wanaongezeka. Hivi mzee aliye kuwa na miaka 80mwaka 2015 unadhani ana nafasi kubwa ya kufika 2020? Whether you like or not CCM mpaka 2025 lazima itoke madarakani.
 
Huelewi unachokisema na uelewa mdogo! Short sited analysis. Your analysis is too superficial, narrow and is not guided by reason.
 
Hizi habari za ukawa na ccm mpaka zinaleta kichefuchefu, hebu tuache siasa tuongelee na kushauriana mambo mengine tuijenge nchi, ingawa unajituma sana lakini watawala wanatusulubu kwa kufuja mali zetu, inatia uchungu sana
 
"Wajumbe wa jamii forum" yes hapo ndo pana hoja, mimi sitasema coz juz nilipgwa ban kisa hyo ishu,naamini mayala kamalza mjadala ukweli mmeupata
Mie nataka nitoke kabisa humu lakini nilishauliza jinsi ya kujitoa sikupata jibu, nishaomba madmin wanitoe mpaka leo nikiingia nakuta nipo,.nielekezeni nijitoe kabisa humu jamii unafanyaje bila kupigwa ban,.manake ban inakuwa kama ni adhabu
 
Siku ambayo Lowasa alijaza form hiyo ya malalamiko na kuileta pale ukumbini, kina Lubuva walienda kujificha chooni na walinzi wakafunga geti.
 
Ivi uyu pascal mayala kama kweli anajua hayo kwa nn kwanza asiwambie CCM ya upande wa zanzibar?ilikuwa wajaze fomu walalamike sio kufuta uchaguzi.P.M usiwe na akili uchwara kaka
 
Sasa ukishajaza form nn kinafuata?
 
Hiyo PPR hawajui technology ya new media ??

Nimetazama YouTube sijaona channel yao au Pascal bado yuko stuck in the 90s na akina Alioki na Jov


Halafu anataka watu wamchukulie serious.
 
Asante kaka ila nilichotaka kueleza kimeelezwa na huyu:::: Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasa Je, una la Ziada an intelligent man than me kapuku?
Kwani Lowasa anajua kila kitu duniani. Losawa is a man and therefore susceptible to errors! You need to have your own vision of the issues, your own analysis of the issue guided by reason! Huwezi kushika dola kama watu hawakujui, na njia ya kukujua ni kuwaendea wananchi na kuwahubiria. Ndio maana dini huwa zinahubiriwa particularly hizi zinazomea kama uyoga ili zipate wafuasi. Likewise katika siasa lazima uhubiri sera zako watu wakujue na watofautishe na wengine. You need to identify yourself particularly when you are in an oppressive environment like ours. Losawa is overlooking this important point! The political environment in Tanzania is hostile to the opposition! You need to be more tactical!
 
Mkuu wa Uchakachuaji na kamati za Ufundi January ndiyo aliyegeuza matokeo na kuwa yalivyo sasa , kinyume na Hapo Leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani Kama KANU ya Kenya .
Hakuchakachua alifichua wachakachuaji ambao walikuwa wamejichimbia ili kubadili matokea halali
 
Mkuu wa Uchakachuaji na kamati za Ufundi January ndiyo aliyegeuza matokeo na kuwa yalivyo sasa , kinyume na Hapo Leo hii ccm ingekuwa chama cha upinzani Kama KANU ya Kenya .
Hivi KANU wakati huo rais alikuwa nani vile? Na sasa rais wa Kenya ni nani? Aisee wisdom and knowledge is power!
 
Bora waambiwe, wanaboa sana badala ya kushusha mambo muhimu tutingishe vichwa tusio wana siasa wanaleta ya ajabu. Wakiendelea hivi, kura za kushinda za 2020 wasahau kabisa tena % itashuka kupita 2015.

kwa tume hii ya.uchaguzi hilo linawezekana kabisa. ccm ikishindwa akina Jecha wanafanya yao.
 

Hivi teuzi zote si zimeisha? Anyway bado mabalozi wa Nyumba kumi kumi.....
 





Mwendokasi wa thread hii unaweza kuwa umevuka kiwango cha division 4.30km/saa.
 
Pasco hana tofauti na waganga njaa wengine wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…