Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,281 Reaction score 7,061 Oct 22, 2023 #1 Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,061 Oct 22, 2023 #2 Mungu ibariki Tanzania.....
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,383 Reaction score 4,350 Oct 22, 2023 #3 Mlimtabiria teuzi, zinampitia kushoto tu
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,365 Reaction score 8,631 Oct 22, 2023 #4 Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
TigerHead JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,829 Reaction score 26,951 Oct 22, 2023 #5 Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Basi na asimwache kupambana mwenyewe ,aongeze juhudi kushirikiana na kadi mwenzie kukijenga chama chetu.
Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Basi na asimwache kupambana mwenyewe ,aongeze juhudi kushirikiana na kadi mwenzie kukijenga chama chetu.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,061 Oct 22, 2023 #6 Ubaya kwa ubaya,wema kwa wema. Kila jambo kwa nia..
T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,814 Reaction score 3,155 Oct 22, 2023 #7 Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,969 Reaction score 69,349 Oct 22, 2023 #8 Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,061 Oct 22, 2023 #9 Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Mkumbuke mkuu...
Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Mkumbuke mkuu...
Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,281 Reaction score 7,061 Oct 22, 2023 Thread starter #10 Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... Sio kweli
Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... Sio kweli
S Siddo JF-Expert Member Joined Jul 13, 2009 Posts 768 Reaction score 754 Oct 22, 2023 #11 TikTok2020 said: Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi Click to expand... Sabaya nae yuko jikoni..Ni suala la muda tu.
TikTok2020 said: Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi Click to expand... Sabaya nae yuko jikoni..Ni suala la muda tu.
S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,138 Reaction score 8,633 Oct 22, 2023 #12 Huyo mama kinacho muangaisha ni 2025 sasa anajifanya mwema kwa kila kundi ili mambo yake yanyooke ila ajue tu sukuma gang hawatamuunga mkono hata afanyeje jamaa bado wana kinyongo sana.
Huyo mama kinacho muangaisha ni 2025 sasa anajifanya mwema kwa kila kundi ili mambo yake yanyooke ila ajue tu sukuma gang hawatamuunga mkono hata afanyeje jamaa bado wana kinyongo sana.
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,169 Reaction score 48,681 Oct 22, 2023 #13 Anajikosha ili akumbukwe mezani pa Saa 100
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,403 Oct 22, 2023 #14 Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,610 Oct 22, 2023 #15 Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Hamumjui vizuri paschal...
Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Hamumjui vizuri paschal...
Kilimbatz JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 4,331 Reaction score 5,866 Oct 22, 2023 #16 TikTok2020 said: Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi Click to expand... Chadema wajiandae
TikTok2020 said: Lilikuwa ni suala la muda tu Paul Makonda kurudi kwenye uongozi Click to expand... Chadema wajiandae
Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,281 Reaction score 7,061 Oct 22, 2023 Thread starter #17 The Boss said: Hamumjui vizuri paschal... Click to expand... Kumjua kivipi?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,610 Oct 22, 2023 #18 imhotep said: Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki. Click to expand... Nyinyi bado hamumjui vizuri paschal... Sio low level hizo mnazofikiri
imhotep said: Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki. Click to expand... Nyinyi bado hamumjui vizuri paschal... Sio low level hizo mnazofikiri
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,610 Oct 22, 2023 #19 Nyankurungu2020 said: Kumjua kivipi? Click to expand... Hahitaji kujipendekeza Kwa yeyote..Hana njaa hizo mnazo dhani
Nyankurungu2020 said: Kumjua kivipi? Click to expand... Hahitaji kujipendekeza Kwa yeyote..Hana njaa hizo mnazo dhani
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,656 Oct 22, 2023 #20 Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Umefahamuje hayo? Hizi IDs hizi loh
Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Umefahamuje hayo? Hizi IDs hizi loh