Pascal Cassian kaachia wimbo Youtube inaitwa mtakamata wangapi.

Msiiiharibu jf.
Mimi ni Memba wa mwanzo kabisa Jf

Zamani nilipenda kutumia account Feki ila baada ya kutambua haki yangu nikaamua kifungua account halisi ya Jina Langu

Wale wakongwe hapa Jf Nilitambulika kama Moshi Vijijini 1, Na Nyingine nipenda Jina la Mnyama mmoja hivi ( hii bado ipo active)

Wewe mtoto wa Juzi hapa Jf tulia 2012 nilikua na miaka 4 Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ