Yah mkuu amapiano flan hv haichoshi kusikiliza, Kuna kile kipande jamaa anasema wanatuona sisi nyani nimekipenda Sana Jamaa ameenda na beat vzr π₯Hii ni ngoma kali sana kwa Mwaka huu 2025.
Imebamba mno Beat kali, melody kali, suxaphone kali
Noma sana. Kwa sisi wanaopenda Vyombo vya msiki bila kuacha ujumbe murua ametupata sanaππYah mkuu amapiano flan hv haichoshi kusikiliza, Kuna kile kipande jamaa anasema wanatuona sisi nyani nimekipenda Sana Jamaa ameenda na beat vzr π₯
Hii ngoma inaweza kutumika kwenye nyumba za ibada π₯Noma sana. Kwa sisi wanaopenda Vyombo vya msiki bila kuacha ujumbe murua ametupata sanaππ
Ngoma ina utukufu ndani yake.Hii ngoma inaweza kutumika kwenye nyumba za ibada π₯
Nyumba za ibada nyimbo zinazotakiwa kuimbwa ni zile za kumsifu Mungu tu sio za kujisifia,kusifia serikali au kulaani serikaliHii ngoma inaweza kutumika kwenye nyumba za ibada π₯
Hakuna Nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia ma Qurani aliyeacha utesaji wa serikali uendelee bila kukemea. Kama yupo badi hiyo dini na vitabu vyake ni Fake.Nyumba za ibada nyimbo zinazotakiwa kuimbwa ni zile za kumsifu Mungu tu sio za kujisifia,kusifia serikali au kulaani serikali
Ile ni nyumba ya Mungu sio ya serikali
Huo wimbo upumbavu mtupu
kaeleza uongo vizuri tu mbona gentleman, hajajilipua kokote hata kidogo.Katema cheche kule yani ni kama kaamuwa kujilipuwa.
Wataibuka wengine....Mungu hajawahi kupungukiwa watumishi wake.Roma na ney WA mitego wamepoa rais the state president
Sio kweli wachache walijaribu kuvuka mipaka ya kazi yao ya kuhubiri watu watubu wakaenda kukemea wanasiasa wengi walipata shida kubwa mnoHakuna Nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia ma Qurani aliyeacha utesaji wa serikali uendelee bila kukemea. Kama yupo badi hiyo dini na vitabu vyake ni Fake.
Ingia You tube kisha search Pascal casssian utapata huo wimbo.Hiyo ngoma sijaisikiliza Ila nimeipenda Sana hakika ni ngoma ya taifa
Inasikitisha sana mkuu πNyumba za ibada nyimbo zinazotakiwa kuimbwa ni zile za kumsifu Mungu tu sio za kujisifia,kusifia serikali au kulaani serikali
Ile ni nyumba ya Mungu sio ya serikali
Huo wimbo upumbavu mtupu hauna sifa ya kuimbwa kanisani muimbaji kapungukiwa maandiko ndio shida ya waimbaji wengi binafsi
Wana upungufu mkubwa wa maandiko
Bi ushungi na vibaraka wake huu wimbo sidhani kama wanaweza kuusikiliza mpaka mwisho.Inasikitisha sana mkuu π
Siku sio nyingi tutasikia Jamaa ameokotwa Coco Beach πBi ushungi na vibaraka wake huu wimbo sidhani kama wanaweza kuusikiliza mpaka mwisho.
Uzuri kasema kwenye wimbo wake huo kuwa anajua teyari yuko hatarini kwa kuimba huo wimbo.Siku sio nyingi tutasikia Jamaa ameokotwa Coco Beach π
Yuko sahihi,Hatari kubwa kwake ni kwenda Jehanamu kwa kuimba wimbo wa kiduniaUzuri kasema kwenye wimbo wake huo kuwa anajua teyari yuko hatarini kwa kuimba huo wimbo.
HeeπSiku sio nyingi tutasikia Jamaa ameokotwa Coco Beach π