Mshana Jr. Matema kunapatikana hao samaki....?
dah mshana pleeaase..watu wengine tumewahi kula ada za chuo sababu ya prawns na crabs..halafu we unatutamanisha hapa...can i be you wakati wa eid?? Ili miss chagga anitoe???????????
Kule ilikuwa Vino blanco kwa kwenda mbele
Kamata mwizi, kumbe mshana jr wewe ndiyo ulimficha huyu mrembo miss chagga?
Kamata mwizi, kumbe mshana jr wewe ndiyo ulimficha huyu mrembo miss chagga?
yaani hapo ndio issue sasa....Tatizo linawaka mpaka linakausha mpaka mifuko
Ohoooo unamwaga mchele sasa mtani
Mtani una akili kuliko shule....! Fanya mambo
naogopa mtani unakumbuka ile billy ya kule now am down financially nataka niombe hela nazuga zuga hapa
Hapo ndiyo naamini kuwa kweli mtani kanitania, uzuri kwa sasa namiliki kitu kama cha Gwajima kiko full. Kwa sasa mshana jr ni wanted, na atakayempata $20,000 zitatolewa. CC. miss chagga.