We hujiulizi why GOOOOOD FRIAY
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??
Jamani mnazidi kunichanganya!
passover imekuwepo tangu israel wanatoka kwa farao,imeendelea kuwepo hadi wakati wa yesu,na hata yesu mwenyewe amesherehekea pasaka soma matayo26:17,leo wengi wanasherehekea kufufuka kwa yesu na sio pasaka,pasaka halisi ni ule mkate na divai mnayokula mara kwamara ktk ibada zenu soma matayo 26:26-30.
kwa mantiki hii wanaosema ijumaa kuu,wanaa zimisha siku aliokufa yesu na j.pili ni siku ya ufufuo wa yesu wanasherekea yesu kushinda nauti kwani asingefufuka kifo cha yesu msalabani ingekua aibu na fedheha kwa ikulu ya mbinguni na shetani angejitangazia ushindi. karibuni tujifunze biblia.
wasabato wanaamini ni passover hao wengineo ni easter tofauti yake hapo inabidi umpate mkristo asie na mlengo wowote ndo aweze kukutafsiria
Ni majira ya mwezi wa sita na ni Mara moja kwa mwaka.
Mkuu imeandikwa wapi? Au fungu lipi kwenye biblia? Passover iliazimishwa kabla ya Yesu na yy mwenyewe alihudulia.huu mzim wa ckukuu n wa kipagan na n kwa ajri ya kuendeleza upagani...leo pita kwenye kumbi za starehe na baa utajua huu mzim unavotesa watu....Good friday kwa sababu ndo ilikuwa mwanzo wa Ukombozi kwetu sisi Wakristu
Mkuu imeandikwa wapi? Au fungu lipi kwenye biblia? Passover iliazimishwa kabla ya Yesu na yy mwenyewe alihudulia.huu mzim wa ckukuu n wa kipagan na n kwa ajri ya kuendeleza upagani...leo pita kwenye kumbi za starehe na baa utajua huu mzim unavotesa watu....
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?
Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??
Jamani mnazidi kunichanganya!
.com
Mambo yakiendelea hivi na mimi nahamia kwa waislamu.
hakuna sehemu niliyosema msabato sio mkristo wala msabato mkristo hilo umeingiza weweWasabato sio Wakristo..
Sasa hapa sijui nani mbulula au kilaza!
Hapa kuna nini cha kuchunguza!
Au ulitaka nikuchunguzie kuwa pasaka ni sikukuu ya wapagani!
Hilo mbona liko wazi tu!
Swali linabaki palepale! Inakuwaje mungu yesu aweke siku yake ya kufufuka sawa na muuwaji wa wafuasi wake!??
You do not have a valid question, unachofanya wewe ni dhihaka na sina muda wa ku-debate na ignorant. Have a life and do good for yourself and your country, I think that is the most important thing for you right now.
Ciao
If I may ask! MR smart pants!
The one who believes that GOD was born by a WOMAN and he was bitten up by the human he created and DIED! And GOD is three in one!:sly::sly:
And the one who Believes that GOD IS ONE! HE NEVER DIE! NEVER BORN! HE WAS HERE BEFORE ANYTHING!
AND HE WILL NEVER EVER DIE!
Who is ignorant!?
answer that! Capoun!