Sikukuu ya pasaka hufuata kalenda ya kiyahudi ambayo inatofautiana na hii ya kwetu kwa miezi mitatu na siku kama 10 hivi kutegemeana na mwaka.Wana jamvi yani leo nimeamka tu asubuhi mara ghafla mawazo yakaniijia kwanini sikukuu za pasaka zinatofautiana tarehe kila mwaka na ni nani anazipanga maan sikukuu za waislamu zinategemea mwezi kuandama vp sisi wakistristo je kuna mtu anapanga tu kila mwaka au....?
Mimi huwa najiuliza kila siku.
Inakuwaje watu washeherekee siku ya KUFA mungu wao!??
Mi kwa kweli ukristo wangu unaanza kuporomoka.
Cc picchu
We hujiulizi why GOOOOOD FRIAY
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??
Jamani mnazidi kunichanganya!
Passover ni ule usiku wa Alhamisi kuu ambapo ile karamu ya mwisho ilifanyika. Ni sawa na ile ya waisraeli na kondoo wakati wakitoka Misri.
EASTER ni sikukuu tofauti kabisa kusherekea kufufuka kwa Yesu. Hii ni maalum kwa wakristo ambao kondoo wao alifufuka.
Kondoo waliochinjwa Misri hawakufufuka hivyo wayahudi wamebaki na Passover tu.

Kwa hiyo kumbe usemi kua easter ni sherehe iliyokua inasherehekewa hata kabla Yesu hajazaliwa au kufa ni uongo?
hii wanaelewa matengenezo au masalia tupassover imekuwepo tangu israel wanatoka kwa farao,imeendelea kuwepo hadi wakati wa yesu,na hata yesu mwenyewe amesherehekea pasaka soma matayo26:17,leo wengi wanasherehekea kufufuka kwa yesu na sio pasaka,pasaka halisi ni ule mkate na divai mnayokula mara kwamara ktk ibada zenu soma matayo 26:26-30.
kwa mantiki hii wanaosema ijumaa kuu,wanaa zimisha siku aliokufa yesu na j.pili ni siku ya ufufuo wa yesu wanasherekea yesu kushinda nauti kwani asingefufuka kifo cha yesu msalabani ingekua aibu na fedheha kwa ikulu ya mbinguni na shetani angejitangazia ushindi. karibuni tujifunze biblia.
Licha ya tarehe kubadirika lkn najiuliza inakuaje wakatoliki wanajua pasaka hadi 2020 huko zitaangukia tarehe gani.
We hujiulizi why GOOOOOD FRIAY
Mimi huwa najiuliza kila siku.
Inakuwaje watu washeherekee siku ya KUFA mungu wao!??
Mi kwa kweli ukristo wangu unaanza kuporomoka.
Cc picchu