wanasherekea siku ya kufufuka na sio kufa kama unavyofikiria
Mkuu hili ni swala la calendar tu kama alivyosema mdau hapo juu. Kwasababu tukio hili linafuata kalenda ya kiyahudi unaweza kujua hata miaka 10 ijayo, siku hii itakuwa lini. Ni sawa na kalenda yetu, ukitaka kujua hata calendar ya 2020 unaweza kufahamu leo hii.
Kitendo Cha kwanza kilikuwa ni kifo!
Mbona hicho hamna siku yake ya kuhuzunika!?
Au nyie hamjali kufa kwake! Mnachojali ni kule kufufuka tu!
Ijumaa kuu
PassOVER=PITA JUU YA....
Old Testament observation 2 remember the Angel of Death who killed the 1st born sons whose door-posts were without blood.We in the New Testament church are not to celebrate passover since Christ is our Passover Lamb 1 Cor.5:7.
About Easter,I'm not sure since I don't celebrate. . . . reason?that's another story to tell. . . .
And give us that story... Kwanini bado unasherekea passover ya misri ihali Yesu ni pasaka mpya...
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?
Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?
Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!
Napenda wanaosherekea pasaka waje hapa wathibitishe Yesu aliuawa mwezi huu na tarehe hizi. Wasipothibitisha basi hayo ni mafundisho ya kipagani kutoka kwa mfalme constantino wa rumi.
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??
Jamani mnazidi kunichanganya!
passover ndyo sahihi.ester imechakachuliwa na waroma.ester ilikuwa sherehe ya kipagani na ilikuwepo kabla ya kristo,,,mengne watakuja wajuzi watafafanua.niko busy kidogo
Lakini hiyo passover ilisherehekewa hata na Yesu mwenyewe kwa taratibu zao za kidini kwa wakati huo, na mpaka leo wayahudi na dini zao wanaisherehekea.
Sharehe za Easter zinasherehekewa kwa kuenzi kufufuka kwa YESU na si suala lenye chimbuko la kipagani kama unavyotaka kutuaminisha, walichochakachua wakatoliki ni kutokula nyama siku ya IJUMAA KUU na kuifanya siku ya IJUMAA KUU kuwa siku ya majonzi wakati kiroho ni siku ya kufurahia sana ushindi na ukombozi kwa mwanadamu
Uvivu wako wa kusoma ndiyo tatizo lako. Kila kitu kimeandikwa GO and Research usiwe kilaza kutafuniwa kila kitu. Hata uko uislam unakotaka kwenda utaama vile vile. Tatizo siyo kuchanganyikiwa tatizo YOU ARE TOO LAZY.
Nakusubiri kwako kila kitu uletewe utaishia kuwa maskini wa fikra mpaka siku ya mwisho wa hii dunia.
PassOVER=PITA JUU YA....
Old Testament observation 2 remember the Angel of Death who killed the 1st born sons whose door-posts were without blood.We in the New Testament church are not to celebrate passover since Christ is our Passover Lamb 1 Cor.5:7.
About Easter,I'm not sure since I don't celebrate. . . . reason?that's another story to tell. . . .
Naomba uniambie majira ya Passover kwa Wayahudi ni miezi gani na huwa wanasherekea mara ngapi kwa mwaka?