Partner wa kusafiri nae

Mi nakwenda Mombasa likizo July 8 kwenye harusi badili route twende wote gharama zote juu yangu
 
SAFARI NA USINGLE Vinaendana vipi? we sema unatka wa kugegeda tu, maana kma upo single means hiyo mashine inaitaji kukunwa sema nimekukubar yani upate mtu msafiri tu akale vyake? we noma, nenda morogoro stoo askri hawaji nhuwa wanakama wanao wanunua ila wa pale manzese tu.
 
Kwenye hotel mtakayo fikia ni single room au kila mtu na chumba chake? na je kama ni single room tutalala mzungu wa 4 au ziro distance?
 
Dada kama nakukumbuke vile..........
 
Hapa naona wanaume mnaponda na kubeza, kumbe tayari mshajaza PM na binti 25
 

Naomba untafte please 0719678528
 
Duh! asee
 
Kwenye hiyo safari, kati ya mkaka na mdada unapendelea zaidi usafiri na nani vile?
 
Napata harufu ya kitu kingine zaidi ya safari hapo...Yaani yeyote tu uwe uko tayar kwenda nae ili mradi atimize kutokuwa tegemezi halafu binti wa miaka 25...
25 is a grown up/matured person mwenye kujua baya na zuri ...tafsiri hasi zitabaki kwetu sisi
 
Ili kupunguza gharama kama kipaumbele cha Rais wetu itabidi tulale chumba kimoja hotelini .
 
huyu binti anatafuta mume mwenye pesa kiakili zaidi..ametumia logic .. Hakiyawalaiii kumbe kwelii mabinti wamekosa wa kuwaoa eeee dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…