Part ipi ya IT inalipa bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Part ipi ya IT inalipa bongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Moseley, Oct 9, 2010.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari wadau?
  Soko la IT Tanzania linahtaj specialists wapi hasa?
  Kwa ninavyofahamu kuna nyanja mbali mbali ktk IT ambazo ni

  Networking
  Programming
  Database
  Storage technology


  na kuna zingine nyingi tu... Naomba kufaham ni zipi zinalipa (Zinahtajika sana, nikimaanisha wataalam wa aina hiyo ni wachache) huko bongo kama mtu akiwa anaifaham kwa ufasaha.. Maana lazima tukubali kuwa kuna wakati inatakiwa usome kulingana na mazingira ya nchi yetu..
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Utawasaidia unaowauliza kama utawawekea specifics zako, kwa mfano, unamaanisha nini (with details) unaposema "kulipa" ?

  Kitu ambacho intern anaona "kinalipa" kinaweza kuwa tofauti na kitu veteran wa miaka kumi anachoona kinalipa.
   
 3. Moseley

  Moseley Senior Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mdau, nimefanya correction kidogo.... Naamanisha kitu ambacho wataalamu wake ni wachache na ni adimu, na wanahitajika sana nchini Tanzania...
   
 4. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Programing wataalamu wake ni wachache sana, lakini NETWORKING inalipa na ina wataalamu wengi.
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe Programming ina watu wachache lakini kwa ninavyoona tunakoelekea kunakuwa na mahitaji makubwa kwani makampuni mengi siku hizi yana ushindani wa kibiasahara sasa hapo ili kubuni product mbalimbali ndipo watu wa programming wanahitajika makampuni kama ya simu,mabenki mahoteli ,SME wote watahitaji programme ambazo ni mahususi kwao,pia siku hizi mambo ya multi media na graphics yanalipa sana bongo
   
 6. Moseley

  Moseley Senior Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Oky.. Kwa maana hiyo kuna haja ya kusoma programming kiasi cha kutosha...
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tanzania utadevelop software gani? tanzania kuna kampuni gani inatengenza software?

  May be kama una focus kufanya kazi nchi za ulaya. Kuna kampuni chache zinatengenza program zenyewe.

  Ofocurse Kuwa mtaalamu wa IT unahitaji kujua programming kiasi fulani lakini sioni future ya kazi challenging za programmer aliyebobea tanzania.

  • Taisisi nyingi , makakampuni Wizara na Idara za serikali zinatumia Off shelf or commercial software


  • Kuna product nyingi za IT zimesshakuwa develped zinahitajika kutumika tu kurahisha maisha ya watu lakini utashangaa. Nenda Wizara ya elimu utakuta kuna miradi ya IT kibao. Lakini hakuna hata shule moja inakopy ya CD zinazo onyesha may be za practical za physics u biology. There are a lot of solution wating to be used haziitaji programmer wala engineer lakini inashangaza.
  May be utalamu wa program utahitajika kufanya customisation hizi commericial software za Accouts, HR, Analysis , etc zilitongenzwa na jamaa waliotangulia mbele. ulizia taaisis kubwa kam BOT, kampuni za simu,kampuni za madini, Serikalini. Software zinazotumika none is the product of Tanzania.

  Udhaifu mwingine wa serikali haina sera kuwa program nyingine ndogo inazohitaji .ishinikize na kupendelea kuwa itazipakipaumbele kwenye tender solution zilozokuwa developed from within.

  Binafsi naona part inayohitajika na ina uhaba ila sijui kama inalipa na watanzania wanajua umuhimu wake ni Information System Auditors.

  Kuna system nyingi zimeazishwa kwa gharama kubwa ukifanya evalution hazina faida. Tumekuwa information Technology wierd kiasi hatufanyi analysis ya kutosha kabla ya kuacquire au kudevelop matumizi ya software fulani. Cost ya software nyingi na maitanance yake naamini ni kubwa kuliko faida. na Auditors wengi waliopo wengi wanjua kukagua vitabu vya mahesabu ya kihasibu tu. This is a challenge

  Lakini Networking and Database kwa mtazamo wangu ni Key.

  To me sisi watalamu wa IT tunaweza kuwa tuna uhaba wa Ma programmer wa kweli waliobobea . lakini uahaba au udhaifu tulionao zaidi ni Creative thinking ya kutumia already available solution kwa njia sahihi na nafuu
   
 8. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yote Tisa, pamoja na kujifunza jinsi ya kutumia hizo off the shelf softwares (pamoja na computer -kwa wasio jua)
  Ni muhimu kupromote local programers because they are needed. Kuna sehemu zingine za nchi nyeti mno, muhimu tutengeneze hizo software wenyewe. Pili, itaingizia nchi kipato. Etc

  IT changes every 18 months. Hizo off the shelf zitafika wakati zitahitaji new updates / features. Kama wakati huo ukifika if presented with even better local developed solutions - y not go for them ?

  Untill then, we will remain importers / users of softwares n not expoters/developers.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu ushafikai muafaka kusoma nini?
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nime furahishwa sana na majibu haya,...
  Nipo chuo mwaka wa pili nachukua B.Sc in Computer science ila "KIUKWELI" kwa tulio chuo challenge kubwa kwetu ni kujua nini tu-concentrate nacho ingawa pia ni muhimu kujua mambo mengi sana ya IT!!

  Help us brothers,ila napenda kujua INFORMATION SYSTEM AUDITOR ana husika na nini kwa zaidi
   
 11. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Jizatiti kwenye programing na database, soko la Developers/Programmers na Database Administrators ni kubwa na mishahara ni mizuri zaidi ya hao wa Networking.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante sana,nina fanyia kazi ushauri wako kaka,asante sana kwa mara nyingine!
  Tuna hitaji mwanga sana,na sehemu kama hii ndio nimepata mshauri aliye experienced thanks
   
 13. emanuel.feruzi

  emanuel.feruzi Senior Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This is an interesting thread. I am a programmer and have been for a while now. I have worked in and our of Tanzania. It is true that there is very little development done in Tanzania. I have come to realize that this is not because there is no need for local developers, not it is because there is very few, thus the companies get developers from Kenya, S. Africa, India and Europe.

  I have been looking at the Ushahidi Project grow from a small team of local developers in Kenya solving a pressing national problem.

  I think we need to do a number of things (out of the long list):-

  • change the way we teach programming so that it is more practical oriented
  • start solving our own many problems, for example how has IT assisted farmers in Tanzania, both in agricultural information and marketing information?
  • how does the industry and the education sector work together so that universities and colleges produce graduates that meet the industry needs, in and out of Tanzania
  • what are we (you and I) doing to improve the young programmers situation in the country? Blog about a concept, write an article do something and see if it will not make a difference.
  • we need to start testing and trusting our local developers, all the projects that we are sending to India, Kenya and everywhere else should be given to local developers, train us we are not good enough, it is a good ROI.
  We need programmers to develop solutions for our own problems, because no one knows them better than we do.
   
 14. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu Je Oracle vipi nayo inala au?
   
 15. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mimi nilifanya kazi ya ukaguzi wa vitabu vya fedha kwa muda fulani (yaani auditor), tulikuwa tunawatumia INFO system auditors kufanya analysis ya systems za clients wetu kujua kwamba system zinafanya kazi sawasawa au la kabla ya sisi wakaguzi wa kawaida hatujachambua account moja baada ya nyingine. Wakati mwingine unakuta mteja anacheza system kiasi kwamba auditor wa kawaida asiyejua IT anaweza asione kitu lakini hawa Information System Auditors walikuwa wakiibua mambo kama hayo. Nafikiri uki-google unaweza kupata details nyingi zaidi.
   
 16. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  I see programming ina future kubwa tunapoelekea. Ukiwa mtaalamu wa network huna nafasi ya kuwa innovative. Programming is a practical approach in computer science. With programming you can become an expert in Computer networks. Computer science is concerned with optimization of algorithms. Network haipo tu kwenye system administration point of view. Kuna software kwa ajili ya data communication huwezi zidevelop bila ya kuwa na knowledge nzuri ya data comm. Sasa hivi kuna area ina itwa ICT4D. Hapa programmer amabao wapo innovative watatakiwa sana. Tunaelekea steji wa kudevelop solution zitazosaidia kupunguza digital divide kati ya waliondelea na wanaoendelea. Matumizi ya ICT bado yapo chini. anayesema software zipo tayari hajafanya utafiti. kuna soution nyingi tunahitaji kudevelop wenyewe. Hizo ni kwa ajili local market opportunity ambzazo zinahitajika kutatua matatizo ya ndani. Sasa hivi mobile phone ndo kama computing device inayomilikiwa na maskini wengi. sasa tuta take vipi opprtunity ya hizi divide ili ku empower watu na information.
   
 17. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mkuu nakusapoti kwa muono wako.
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sidhani......
   
 19. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hata walimu wa programming pia ni wachache. Waulize walio chuoni watakueleza jinsi wanavyopata tabu kuandaa program hadi ikakubali kuendesheka (ku-run), na hasa java.
   
 20. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Tatizo Programming ni ngumu na nii inazidi kutokana na walimu kutumia approach mbovu, unafundishwa ili ujibu mtihani
  Hapa bongo wengi wamebase kwenye Graphics Design,Networking & Database.Information System inalipa zaidi kwa sasa wapo wachache sana
   
Loading...