Part ipi ya IT inalipa bongo

Nime furahishwa sana na majibu haya,...
Nipo chuo mwaka wa pili nachukua B.Sc in Computer science ila "KIUKWELI" kwa tulio chuo challenge kubwa kwetu ni kujua nini tu-concentrate nacho ingawa pia ni muhimu kujua mambo mengi sana ya IT!!

Help us brothers,ila napenda kujua INFORMATION SYSTEM AUDITOR ana husika na nini kwa zaidi

Mimi Nkuashauri Chagua kukocentrate kati ya NETWORK AU DATABASE. Kwa maizngira ya tanzania soma programming ili ufaulu effort yako kubwa weka kwenye subjetc zinazoendana na hizo key area mbili.

After all Hakuna program zinazofanya kazi on their own . Most program are wriiten as an Interface( eg VB, JAVA, etc) ya kuacess database. iwe ni SQL , ORACLE, MYSQL

Vile Vile dunia tunayokwenda most application zinakuwa web based. Lakini most website are Database Driven. Mfano hii jamii forum ni website lakini users, forum, etc zinkauwa stored in form of database. Na kama unataka kuwa mtaalam wa Programming Basi Bobea kweye DATABASE PROGRAMMING. ujue mambo ya views, stored procedures, Transact SQL, etc

Subjetc za networking ni muhimu pia. kuwa na basic nzuri za subject za Networking kutakufanya uelewe most application kama Client/server zinavyofanya kazi.

Unachohitaji kujua kwenye organisation yeyote ile DATA is a key resource.

So before hujawa Information System Auditor makini inabidi ubobee kwenye area hizo mbili.

Mfano Nahakika pale TRA kuna vijana wasio waaminifu japo wanapewa mishahara mizuri wana temper na system za kompyuta kwa manufaa binafsi. Auditor wa kawaida anaweza asigundue kosa sababu atakuta kila kitu kimebalansi. Hapo ndo utaalamu wa Auditor wa system utakapohitajika.
 
After all Hakuna program zinazofanya kazi on their own . Most program are wriiten as an Interface( eg VB, JAVA, etc) ya kuacess database. iwe ni SQL , ORACLE, MYSQL

.
How much salary kwa OCP holder in bongo?
 
How much salary kwa OCP holder in bongo?

Sijui kw akwa kweli kwa tanzania nadhani most cases suala la mshahara linategema linakuw adetermined zaidi na taasisis/ shirila/ kampuni utakalofanya kazi na si qualification.

  • Ukiwa na OCP ukinda serikalini bado utapata TGS probably ya ya laki tatu.

  • Ukienda BOT hata kama huna OCP unaweza kulamba milioni na ushehe

  • Ukifanya kazi Kwenye global mining company labda hao kwa kiasi fulani wanafuata viwango vya kimataifa. Lakini nina rafiki yangu alinimbia kwenye mgodi wao Human resouce officer wa kiafrika mtanzania ndo alikuwa mbele kupinga wabongo kupewa mshahara mkubwa eti ni hela nyingi sana kwa kiwango chetu watanzania. Anyway this is outside the topic lakini inaonyesha kuna watu wamepwa dhamana lakini wana mawazo ya kimaskini
So kwa tanzania naweza kusema it depend unapata kazi shirika au kampuni gani. na sina data ni kampuni gani au system gani kubwa zinatumia oracle.?
 
Hii ndio inafanya jamaa wakimbilie Botswana....BTW kuna mtu alitaka kujua kabla hajaamua kurudi tz ana OCP...so kama hali ndio hio nitamwambia akimbilie Botswana..
 
Nimehisi watu wanaongopa sana hapa!!
Hapo ilikiwa ni 2010, so walikua wanaongea according to that time. Sema nakubaliana na ww kwa hilo coz hii miaka ya hapa katikati 2010-2019 mambo yamebadilika sana na kwa sasa mengine walosema hapo juu yako invalid
 
Back
Top Bottom