PAROKO KIRUMBA MWANZA KANISIKITISHA.

PAROKO KIRUMBA MWANZA KANISIKITISHA.

Kumwita mtu taahira ni sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nieleweke vyema. Haibadili chochote kwako wewe kukataa kumwita mtu huyo kuwa ni; Taahira. Haibadili chochote wala kuongeza au kumpunguzia utu wake. Ubaya ni pale unapotolewa kwa Dharau au unyanyapaa.
Kumwita mwanaume' Wewe ni mwanamke kabisa. Je, siku hiyo hiyo akavae gauni?? Mbona wamama wengi tu sasa wanavaa jeans? Tuseme mfano mwanamke avaapo hilo tuseme kuwa; Wamevaa za kike?? Je hilo ni vazi lao??
Tunaoanza kubadili maneno hayo au majina hayo ndio wenye shida.
Baba paroko hakuwa na nia hiyo uliyoidhania. Alikuwa na nia kwamba; Waleteni watu wenye matatizo hayo naye atawabatiza.
 
Katika hali ya kushangaza, misa ya jumatano ya majivu, Paroko katika matangazo yake akasema anatoa fursa ya kubatiza vichaa, mazezeta na mataira, tena akiongea kwa sauti isiyo na staha. Binafsi nilishangaa ni vipi mtu kama huyu alishindwa kuchagua maneno yenye staha kwa watu kama hawa? Alishindwa vipi kuwaita watu wenye changamoto ya akili, walemavu wa akili? Kwa nafasi yake alistahili kuwapa faraja, binafsi nilipata mashaka makubwa na wito wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

That will not change their situation
 
Ndio huyu ?
Padri huyu analidhalilisha kanisa Katoliki parokia ya Kirumba - JamiiForums
 
Back
Top Bottom