Mkuu mkutano wao na Baba ndo ukoje?Tatizo lenu mnewakabidhi hawa watu kila kitu chenu. Hao ni binadamu kama wengine na wapo wajinga kama wengine. HUKUMBUKI MKUTANO WAO NA BABA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa muumini niliyesikia hayo.wewe ni yupi kati ya hao watatu tajwa?
Ukweli unaumwa shekhe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilianza kwa kutoa ya moyoni kwa Kanisa ila nikazibwa mdomo na nisipate la kusema wala kujibiwa, ndipo nilipoona labda kupitia jukwaa huru la JF kilio changu kitawafikia wakubwa ambao mara nyingi huwa hawayapati haya. Ni kwa nia njema tu ya kurekebisha.Kumbuka kuwa Padre naye ni binadamu kama wewe, na tena landa unaisi angetumia jina gani? na unakuja kusema haya kwa watu wa mataifa? Unategemea utapewa ushauri mzuri?, mfikie hatua mambo ya kiroho usiwe unaleta humu kwa watu wengi ni wa watu wa mataifa,ndo maana imani zenu huwa zinashuka kwa ushauri mbaya kuwa makini ndugu kwa unachokifanya usije ona upo sawa kuleta uzi kwa watu wa mataifa
Mkuu mimi ninayo mengi juu ya huyu Paroko, ana napungufu mengi sana na kwq kweli hastahili kuwa Paroko kabisa. Halafu hiyo tabia ya kutukana anayo sana na kujifanya msafi sana, ana tabia ya kuona makosa zaidi ya wengine. Siku hiyo aliongea mambo mengi mabaya na anapenda sana sifa.Huyo paroko muhaya Ni mpuuzi Sana aliniboa mwaka Jana akamtukana babu mmoja eti Ni mpumbafu kisa kachelewa kulipa zaka na aligoma kumbatiza babu aliomba akatolewa nje yaani iliniboa nikamwambia wife ingekuwa Mimi ningempiga kerebu na nimehama kusali kirumba parish
Sure, Kanisa ni lazima lichunguze hili ndo maana baada ya mimi kunyimwa fursa ya kupaza sauti ndani ya mifumo ya Kanisa nimeamua kuja kupaza huku kwenye uhuru kamili.Huyo paroko ana shida mahali licha ya lugha isiyo ya staha aliyoitumia dhidi ya hao wenye mapungufu lakini pia kimaandiko hayupo sahihi kwa dhamira yake huenda alikunywa divai iliyochachuka
Condition ya mtu kubatizwa at ceteris peribus maandiko yanasema lazima aamini kwanza kwa kile alichofundishwa kisha abatizwe sasa hao anaotaka kuwabatiza kweli wanaweza kufundishwa ili waamini kisha wabatizwe au anawabatiza ili mradi tu, hebu kuweni naye makini huku kuchunguza nyendo zake huyo
Mwenye vikwazo vya kiroho anabatizwa mara 2 mkuu. Hakuwa anaongea kwa muktadha huo na lilikuwa ni tangazo na si kipindi cha mahubili.tatizo waumini wengi huwa hamjui tungo tata,,,hapo padre alikuwa akimaanisha wenye vikwazo vya kiroho ambavyo wao wenyewe wameshindwa kuvitatua na kuwa sawa na vichaa,matahira nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe unampata mkuu, Padre wa ajabu kabisa.Mpuuzi Fulani huyu paroko fr.MTEMA
Pole mkuu. Mimi nishapanga hadi kuhama jumuiya ya eneo lake nijiunge hata na nyakahoja huko kama taratibu zinaruhusu. Maneno mengi yenye kero kibao, mahubili yenyewe anarudiarudia maneno yale yale misa inaonekana ndefuuuuu.Mkuu Mimi nimekulia Jimbo Lile na jumuiya yangu IPO kirumba magomeni ila nasari nyakahoja nowdays spendi KERO zake
Pole mkuu. Mimi nishapanga hadi kuhama jumuiya ya eneo lake nijiunge hata na nyakahoja huko kama taratibu zinaruhusu. Maneno mengi yenye kero kibao, mahubili yenyewe anarudiarudia maneno yale yale misa inaonekana ndefuuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app