Parokia nyingine muige kwetu Kitunda

Parokia nyingine muige kwetu Kitunda

Kanisa katoliki siku hizi mambo mengi wanaiga KKKT kwa walutheti hizo bahasha ni mfumo wa KKKT ,walikuwa hawana sikukuu za mavuno Sasa hivi wameiga KKKT minada makanisani ilikuwa haipo siku hizi ipo nk Ulaya wakatoliki wengi wamekuwa wapagani hawatoi misaada Tena hivyo kanisa katoliki linaiga KKKT ili kuendelea kupumua kimapato.Mleta mada ungesema tu wakatoliki igeni KKKT
Lkn sio mbaya kuiga namna ya kutafuta pesa.
Litrujia ibaki palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna Ubaya gani km kuna jambo zuri kwenu lenye Manufaa ambalo sisi tukaliiga??!!. Mbona Kawaida tu. Nakushangaa jinsi unavyojinasibu kana kwamba ni kitu cha ajaaabu??!!!. Mbona Ninyi pia mmeigwa RC mfumo wa kuwa na Jumuiya ndogo ndogo Lkn hatusemi kwasababu mmefanya kitu chema, tunawapongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa katoliki linabadilika kufuatana na mabadiliko ya dunia ule msemo wa kanisa katoliki la mitume lisilobadilika haupo Tena.Kukionekana Kuna Cha ku copy toka KkKT ,kwa waislamu nk linacopy .
 
Back
Top Bottom