:target:kuanzia leo jioni hadi jumapili.ni full ku-:sleepy: yaani ile sana+:spit:halafu :violin: na ku :bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:..Maulidi njema na wikendi njema kwa woote..
Jifundisheni ujasiriamali pia,
ili siku ambayo hauendi ofisini uweze kuzalisha,
Binafsi naona hata hizo siku za sikukuu na weekend ni chache sana kwangu.
Una mambo mengi ma' mdogo Mamndenyi,si ile waliyo kuletea juzi?
Ebu kumbuka vizuri bhasi!!
fanya mpango sehemu yako ya ratiba JF White Party iwepo...
Jifundisheni ujasiriamali pia,
ili siku ambayo hauendi ofisini uweze kuzalisha,
Binafsi naona hata hizo siku za sikukuu na weekend ni chache sana kwangu.
Nasubiri mwaliko wangu!
Mix mix nipo njiani gari limepata pancha!
Jifundisheni ujasiriamali pia,
ili siku ambayo hauendi ofisini uweze kuzalisha,
Binafsi naona hata hizo siku za sikukuu na weekend ni chache sana kwangu.