Bukoba mjini apo....Hiyo picha imechukuliwa maeneo ya juu either RUgambwa oe Kibeta...infwaaaaat kwakweeli
sio kwa sababu ya nyumbani ila ni ukweli kuwa hata ukiwepo hapo hali ya hewa ni tofauti sana. ndio maana wengine wanadhani kuwa uzuri wa sehemu ni magari mazuri na maghorofa lakini kama hii picha (just a glimpse) inavyoonyesa, ni mazingira usiyoweza kueleza ukaeleweka labda mpaka uwepo. Haijalishi kama pesa ziko mfukoni au la!Duuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! huo ukijani unapendeza balaa, umenikumbusha nyumbani, home sweet home
Itakuwa kwetu TUKUYU.
Mkuu umezaliwa Buguruni nini?
Ukizaliwa Keko, ukakulia Mbagala, Ukasoma Kinondoni na kuishi Magomeni lazima uone hiyo ni Paradiso. Kwa kifupi hujawahi ona Country Scenes za kupendeza.
Mbona hilo ni shamba tu?
Nakubaliana na Xuma kuwa ni Bukoba, hicho kisiwa kipo Ziwa victoria kinaitwa Msira, karibu na uwanja wa ndege.Mpigaji picha kasimama maeneo ya Rugwamba secondary huko.
Nadhani hii imechukuliwa maeneo ya Karibia na Ihungo Sekondari au Rwamishenye karibia na "achemba"...!
Anyways Bukoba kuzuri saaaaana...!
siwezi kuamini hii kauli hii mkuu Doppelganger!Dah!mi natamani hata hizo nyasi tu mbichi zitokezee Tabora kwetu...!Hayo mengine hata sijitamanishi...
kwani Tabora kipindi cha masika hakuwi kijani? Maana hapa pia miezi ya July - August mwishoni panakuwa pakavu piaBukoba ni karibu na Ziwa Viktoria ndo maana unaona "ukijani" umetawala. Tabora, Singida, na Dodoma "ukijani" utaupata wakati wa masika, natumaini miezi hii kuna ukijani huko Tabora au vipi?