Pappies pure gs wanauzwa

Pappies pure gs wanauzwa

Kabachubya

Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
87
Reaction score
10
Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 18, feb,2012 wanatimiza miezi miwili. Wamebaki watatu. Bei ni Tshs 300,000/= kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 0762 101 178
 
Mkuu naitaji sana hiyo aina ya dog, hebu weka picha ili tuwaone kabla ya kuagiza.
 
Ni dume kwa sasa amebaki mmoja,
kuna wengine wamezaliwa jana trh 13, February, 2012 hao wanaweza kupatikana majike pia. Kesho jioni nitajitahidi niweke picha.
 
Mambo vipi wana JF? Popiexo angalia hizo picha za pappies.
Thanks.
 
Attachments

  • DSC02570.JPG
    DSC02570.JPG
    37 KB · Views: 100
  • DSC02571.JPG
    DSC02571.JPG
    44.9 KB · Views: 87
  • DSC02575.JPG
    DSC02575.JPG
    41.5 KB · Views: 83
  • DSC02572.JPG
    DSC02572.JPG
    20.5 KB · Views: 67
  • DSC02373.JPG
    DSC02373.JPG
    216 KB · Views: 76
Nikikumbuka sera za ujamaa za Mwalimu Nyerere na jinsi zilivyotupiliwa mbali leo machozi yananitoka...Imagine,unanunua kitoto chambwa 300,000 huku kuna Mtanzania anakufa kijijini kwa vile tu hana 5000 ya kwenda hospitali,watoto wamefukuzwa shule kisa hawana 20000 ya ada na huo ndo mwisho wa Elimu yao,Watoto wanakufa kisa utapiamlo,hata fungu la dagaa la 200 hawawezi kulipata..Ee Mola tupe usawa.Bado hyo specie ya mbwa ukiinunua utumie walau 10,000 daily kukihudumia wakati mtanzania average anatumia 1500 kwa siku ikimaanisha kuna amabaye hata hiyo 100 hana kwa siku....Najua kila mtu anapata kwa jasho lake na ana haki ya kutumia atakavyo ila kama tungeamua wote wenye uwezo wasaidie wasio na uwezo basi wote tungeishi maisha bomba,This world could be a best place to be.Anyway,hku kijijini kwetu vitoto vya mbwa tunatoa bure,kama una nauli ya kufika njoo uchukue,hata hauhitaji kuwaandalia menu.Hawa wanatwanga masalia ya misosi yetu ukizubaa hata vinyesi wanakula...🙂
 
Tatizo mbwa koko ndio unaowazungumzia ww,hao germany shepard ni kama wale mbwa wa polisi wanafundishika ukiwafundisha
 
Nikikumbuka sera za ujamaa za Mwalimu Nyerere na jinsi zilivyotupiliwa mbali leo machozi yananitoka...Imagine,unanunua kitoto chambwa 300,000 huku kuna Mtanzania anakufa kijijini kwa vile tu hana 5000 ya kwenda hospitali,watoto wamefukuzwa shule kisa hawana 20000 ya ada na huo ndo mwisho wa Elimu yao,Watoto wanakufa kisa utapiamlo,hata fungu la dagaa la 200 hawawezi kulipata..Ee Mola tupe usawa.Bado hyo specie ya mbwa ukiinunua utumie walau 10,000 daily kukihudumia wakati mtanzania average anatumia 1500 kwa siku ikimaanisha kuna amabaye hata hiyo 100 hana kwa siku....Najua kila mtu anapata kwa jasho lake na ana haki ya kutumia atakavyo ila kama tungeamua wote wenye uwezo wasaidie wasio na uwezo basi wote tungeishi maisha bomba,This world could be a best place to be.Anyway,hku kijijini kwetu vitoto vya mbwa tunatoa bure,kama una nauli ya kufika njoo uchukue,hata hauhitaji kuwaandalia menu.Hawa wanatwanga masalia ya misosi yetu ukizubaa hata vinyesi wanakula...🙂

Dah, hata mimi sijaona umuhimu wakununua mbwa kilo3, lakini sina uzoefu wa maswala hayo ndio maana nimeshangaa. Yaani Mbwa Bei ni sawa na N'GOMBE.
 
Nikikumbuka sera za ujamaa za Mwalimu Nyerere na jinsi zilivyotupiliwa mbali leo machozi yananitoka...Imagine,unanunua kitoto chambwa 300,000 huku kuna Mtanzania anakufa kijijini kwa vile tu hana 5000 ya kwenda hospitali,watoto wamefukuzwa shule kisa hawana 20000 ya ada na huo ndo mwisho wa Elimu yao,Watoto wanakufa kisa utapiamlo,hata fungu la dagaa la 200 hawawezi kulipata..Ee Mola tupe usawa.Bado hyo specie ya mbwa ukiinunua utumie walau 10,000 daily kukihudumia wakati mtanzania average anatumia 1500 kwa siku ikimaanisha kuna amabaye hata hiyo 100 hana kwa siku....Najua kila mtu anapata kwa jasho lake na ana haki ya kutumia atakavyo ila kama tungeamua wote wenye uwezo wasaidie wasio na uwezo basi wote tungeishi maisha bomba,This world could be a best place to be.Anyway,hku kijijini kwetu vitoto vya mbwa tunatoa bure,kama una nauli ya kufika njoo uchukue,hata hauhitaji kuwaandalia menu.Hawa wanatwanga masalia ya misosi yetu ukizubaa hata vinyesi wanakula...🙂

Ilaumu CCM kwa kutengeneza mazingira hayo, sisi wananchi tu wajinga tunashuhudia wanatufanya masikini hata hatushituki! Wacha tukione cha moto!
 
Jamani hao ni GS sio general study bt bro kwa bei hiyo umeenda mbali sana mzeya
 
Nawasikitikia sawa watanzania km kakapeter,na ndio haohao ukiwauliza watakwambia chama chao ni CCM,wana maisha magumu, hawajui la kesho na ndio haohao wanakuja wakati wa uchaguzi wanadanganyika na kilo moja ya mchele na T-shit,kazi mnakalia majungu na kulalamika tu. Kila mtu atakula kwa jasho lake na hakuna wa kuwasaidia hayo ndio mliyochagua Maisha bora kwa kila Mtanzania. Mimi na washkaji tunaojua maana au thamani ya vitu na hela huwezi kukuta tunakipigia debe CCM. Kwa taarifa yako Hawa mbwa wanauzwa US dollar 400 hadi 500 na wanakula vizuri. Ndio maana baadhi yenu mngependa mkazaliwe mbwa Ulaya na Marekani. Pole sana kakapeter wasaidie ndugu zako wapate uelewa waishi maisha bora na sio kusubiria vishuke.
 
Sasa CCM inahusika nini na uuzaji wa mbwa?Msituletee siasa kwenye biashara.Kama huna laki 3 si ukae kimya ama ubembeleze bei ishuke.Hivi wabongo tutaacha lini kulalamika?Ptuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom