nami namwomba mungu sana awasamehe kwa kosa kubwa hilo. Waombe rehema ya mungu na ifike siku wapate msamaha wa rais. Ninaamini wameshajutia makosa yao na mungu wetu anayesamehe hata dhambi za damu na kuzifanya nyeupe kama theluji na awasamehe. Shishabikii uzinzi au ubakaji ila wameshakiona cha mtemakuni.
mi nsingeimba............