Paparazzi mie bado nipo kazini!

Kasimamisha kweli Maxence Melo
kweli wembamba wana mizigo ya haja!!!!!
πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
 
Mmenikumbusha, kuna siku nilipata likes ya bro Maxence Melo Nakumbuka ilikuwa kwenye uzi uliohusu birthday yake. Unaambiwa usiku usingizi ulikuwa haupatikani kama nimepewa milioni 50 za kushtukiza au kama nimeshinda kwenye kubeti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Nimejikuta natizama maeneo ya zipu...... msiseme akili yangu chafu looh, macho hayana adabu wala pazia.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we kibibi bana
 
Pale tunapokuwa tumeshiba amani, tunatafuta BAN kwa nguvu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Haha mtaipata
 
Kama nyote mmeona kama nilivyoona basi ambao hatufiki mbinnguni tuko wengi.πŸ˜‚

Ila wanawake ni wambea, wameona suti ilivyomkaa fresh macho kodo paleeeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…