Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,542
- 93,152
Sana tu mkuu, huwezi kuwajuwa hawa kama wewe si mutoto ya mujini,kwanza utawaona wapi? Kariakoo kwenye vumbi kamwe huwezi kukutana nao hawa.Hivi kumfahamu huyo msoffe ni mojawapo ya sifa za kuwa "mtoto wa mjini (Dsm)?"