Huyu jamaa ana roho ya chuma, kesi hii alishatoka uraiani kaenda kuwapiga tena, jana tarehe 1 December 2019 kafikishwa mahakama ya kisutu kwa kesi ya kutakatisha pesa na kumiliki genge la uhalifu, hapo Magu anataka mpunga tu ndio utoke.