bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
Inasikitisha sana mtu anataka kujua ukweli wengine mnaleta utani kwani lazima u comment kama hujui?
Huyu anaevaa nguo za kike sio chele kweli ?
Mnakumbuka enzi zile papa Musoffe akipokea simu mziki unazimwa ziii. Halafu yule sijui ndama sijui beberu anasema. SAMAHANI PAPAA ANAPOKEA SIMU. wakati watu mmelipa kiingilio.akimaliza kuongea na simu anaruhusu muziki uendelee. HATA KAPUYA MWENYE BENDI HAJAWAHI KUFANYA JEURI HII
Alikuwa anaitwa papaa musofe mutu ya "alibino (eti ndo zile noti za elfu 10"
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.
hivi na wewe unafagilia waharifu? Alex massawe ni wanted ili aunganishwe kwenye kesi na msofe.
Huenda kaka yake au ni mmoja wa vitolea wake huoni hata majina yanafanana mkuu.. Povu linamtoka kutetea waarifu. Atakua ni mchepuko wake
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanyabiashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.
Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu.
Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?
Ahsanteni.
Q-Chilla mwenyewe ameshapotea!Hebu muulize q chilla anajua vzr.
Aisee acheni tu, in short daima tukumbuke tu kuwa Mungu yupo and crime doesnt pay.
Jeuri hiyo alikua nayo marehemu Mapunda tu. Na alikua halali nyumbani bali alikua anapelekwa kwenye vigrosery vya Keko machungwa kuwanunulia makorokoroni vibia na chips. Papaa uraiani anaiona kupitia magriri tu. nyambavh yakeJamaa bado yupo anatusanifu tu. Mchana anakuwa jela usiku anapelekwa kwao kisailensa kuvinjari na mkewe huku akila dili za siku zote na washikaji wake.
Kwa akili ya kawaida,unaweza kuamini kama yupo jela ya kawaida,ila naamini kwa noti alizonazo atakuwa ametengewa chumba maalum pale jela.