Papaa Msofe

Kigogo umenifanya nicheke mpaka memsahip ameamka toka usingizini. anachungulia kama ngedere

Serious we nenda uone..anavaa lipensi la jeans na bonge la tshirt limeandikwa WU Tang clan anachungulia chungulia tu kwenye magriri akiona visitors ..yaani kama ngedere kabisa
 
Serious we nenda uone..anavaa lipensi la jeans na bonge la tshirt limeandikwa WU Tang clan anachungulia chungulia tu kwenye magriri akiona visitors ..yaani kama ngedere kabisa

Asante
 
Aisee acheni tu, in short daima tukumbuke tu kuwa Mungu yupo and crime doesnt pay.
 
Attachments

  • tmp_images(9)-1887742897.jpeg
    10.6 KB · Views: 714
  • tmp_images(2)-1020728773.jpeg
    11.4 KB · Views: 678
  • tmp_index(5)-1991446980.jpeg
    12.1 KB · Views: 675
  • tmp_index1180944086.jpeg
    4.8 KB · Views: 1,065
  • tmp_index(3)2071415645.jpeg
    7.6 KB · Views: 1,052
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.
 
mbona mnaogopa kusema yupo jela kwa tatizo gan? mnaropoka tu mtoa mada kajieleza vizuri kama hamjui kaeni kimya.
 
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.

alishakudhulumu na wewe?
 
Papaa Msofe Mbaroni kwa Mauaji
 
Mnakumbuka enzi zile papa Musoffe akipokea simu mziki unazimwa ziii. Halafu yule sijui ndama sijui beberu anasema. SAMAHANI PAPAA ANAPOKEA SIMU. wakati watu mmelipa kiingilio.akimaliza kuongea na simu anaruhusu muziki uendelee. HATA KAPUYA MWENYE BENDI HAJAWAHI KUFANYA JEURI HII
 
Pappaa alikua na chumba kwenye hoteli moja karibu na kwa nyerere ambacho alishakilipia mwaka mzima kwa ajili ya michepuko yake. leo hii hata harufu ya K keshaisahau
 
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.

alex anaish kama digidigi? loh upo dunia ipi
 
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.

wakongoman hawamtaji tu mtu hivi hivi ktk nyimbo zao.kutaja na kuwasifu mapedeshee ktk nyimbo almaarufu kama "mabanga", ni biashara yenye kipato kikubwa kwa wanamziki huko kongo.kutokumsikia papaa akitajwa ktk bendi ni kuonyesha namna gani mtu huyo hayupo karibu tena na nawamziki.utamtaje mtu aliye jela?.nani atakupa pesa ukimtaja?. nilipe nikutaje period.
watu wanaingia gharama kubwa sana kujitangaza ili wawe maarufu.
 
damu inanena ana fanya yote ukiua damu itakuhukumu Kabla ujahukumiwa na Mungu

Yuko pale nyuma ya taabata mkuu ukonga si ukonga ila wameabatiza segerea

kuna yule mwenzake alitokea uk akaanza kumwaga hela kama njugu kwenye bendi za fm academa sijui nae yuko wapi alikuwa

mchepuko wa Aunt ezekiel

baadae gazeti za global wakamtoa picha nyumba anayoishi mama yake kijijini wakauliza je anastahili kumwaga hela ovyo na mamayake kusema anajua mwanae yuko marekani kumbe anamwaga hela kwa mazagazaga yaliokubuhu

nikumbushe jina tena
 
Jacky Pemba
 
Lakini anaonekana kama wadudu walikuwa bado mwilini,au anameza kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…