Kwanza kaikosea bibilia yako inayosema Yesu ni shoga, hana akili afu ndio uje useme una akili. Sijawahi kusikia Muislam anamdharau Yesu kama wakristo mpaa mnasema hana akili na kumuita shoga. Waislamu tunamheshimu Yesu kama tunavyo mpa heshima Mtume Muhammad. Wakristo wote ni wendawazimu. Msikie Mtume wako Paulo anasema nini; 1 Corinthians 1:25 For the foolishness of God is wiser than man's wisdom, and the weakness of God is stronger than man's strength. The comparison itself is very insulting and degrading to GOD Almighty. It is also limiting to Him since our finite and limited intelligence and strength were compared to His infinite Attributes.
Kwanza jua kuwa kwakuwa binadamu kapewa freewill, hii kauli inayo dhamira njema ndani yake.
Yesu kristo amekuwa akionyesha ni kwa jinsi gani wanadamu wamekuwa wakiua manabii na mitume wa mungu. Huku wakiwaita ni wajinga na wenyewe wazimu. Bila kufahamu namna mungu anavyojifunua kwao.mfano yohana mbatizaji. Stephano,
Hali hii haikukoma Kwani iliendelea kuwakuta mitume wa YESU.
Yesu aliwahi kusema yohana alikuja hali wala hanywi wakasema anamapepo mwana wa Adam anakula na kunywa wanasema mlafi, mlevi na rafiki zao watoza ushuru na wenyewe dhambi.
Ndipo kauli kama hii imetumika kuwafanya watu wawe aware na vile mungu alivyo na atendavyo
Kazi zake, sivyo vile Wanadamu wanavyotaka kuchukulia. Mungu hategemei msaada wa binadamu. Unaweza mwona anayemtumaini mungu ni mpumbavu na pengine ukamtusi na mungu wake kwa busara zako za kibinadamu ukidhani U na akili sana. Kumbe uu mpumbavu zaidi yake.
Lengo ni kukuonya kuwa usijilinganishe upumbavu wako na Mungu.
Maagizo ya YESU kama vile akupigae shavu moja mgeuzie na la pili, akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili, akudhulumue usitake akurudishie.
Mwombee adui yako, mbariki anayekuudhi, usilaani usije ukalaaniwa,
Usilipe ubaya kwa ubaya,
Uwe kama mtoto mdogo. Usipokuwa kama mtoto huwezi urithi ufalme wa mungu.,!!
Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo kwa busara za kibinadamu ukifanya watakuona mpumbavu.
Lakini ni maagizo ya Mungu.
Swali kwanini Mungu amechagua njia ya upole hivyo badala ya njia za ukatili wa kukata mikono miguu, kata Kichwa, lipa kisasi n.k?