Frank Castello
Senior Member
- Dec 26, 2014
- 198
- 91
No! Homosexuality is fastest growing faith trend in the Western religions especially Christianity among priests, nuns, Sunday schools kids and the whole community at large to the extent of legalizing same sex marriage in their churches.
Naona unabwabwaja unakosa pointi za maana hv hapa Tanzania kuna watu wanafungisha ndoa za jinsia moja?kama unataka kuleta mambo ya ulaya nimekwambia hata Afghanistan kuna ndoa za jinsia moja tena waolewaji ni vitoto vidogo na hzo ndoa zmekuwepo karne na karne,kama unaona Afghanistan mbali nenda Magomeni utapata jibu harafu ujiulze ni wadini gani,ndugu yangu ulaya ukristo ulishapotea siku hzi watu wengi hawana dini!