Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
dogo Kakende , nimeisha kujibu maswali yako hakuna nilicho kwepa. Wewe unasema Bacteria, Virus hawakumbwa kwa pair una dallli gani kama hawana pair? Elimu gani walio ifanya mpaa wakathibitisha havina pair? Mara ngapi ma researcher wanapotea step afu baadaye wanakiri wamekosea. Mimi na swali moja tu hapa The bible also says bats are birds, insects have only four legs and rabbits chew cud, hapo mungu wakikristo alirukwa akili au? Did the Bible Writers Commit Biological Blunders?

insects have only four legs
Hapa Biblia ilikuwa inaongelea wadudu jamii ya Locust, wana miguu minne ya kutembelea na miguu mikubwa ya nyuma ya kurukia, hivyo wanakuwa regarded kama wenye miguu 4, mikubwa ya nyuma haihesabiki

rabbits chew cud
Rabit wana tabia ya kunya kinyesi ambacho kiko less digested then wanakila mara pili

bats are birds
Hapa ilikuwa inaelezewa wanyama wanaofaa kuliwa na wasiofaa kuliwa, so it was easy kumuweka popo kwenye kundi la wanyama warukao kama vile ndege
 
dogo Kakende , nimeisha kujibu maswali yako hakuna nilicho kwepa. Wewe unasema Bacteria, Virus hawakumbwa kwa pair una dallli gani kama hawana pair? Elimu gani walio ifanya mpaa wakathibitisha havina pair? Mara ngapi ma researcher wanapotea step afu baadaye wanakiri wamekosea. Mimi na swali moja tu hapa

Kwa hiyo mkuu inabidi tusubiri hadi Dume la Bakteria, Virus na Whiptail Lizard mpaka wagunduliwe, Mkuu unaweza kuniambia Bioogy ulikuwa unapata marks ngapi?

Mkuu pia niambie hizo nguzo zinazoshikilia Mbingu/mawingu
 
Mkuu Adiosamigo, Hapa milima inazuia tetemeko la Ardhi, uongo mtupu, mbona matetemeko yanaendelea?
Sura 16:15
Na kaweka katika ardhi milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. Na mito, na njia ili mpate kuongoka.
 
Mkuu Adiosamigo, Tangu lini Nyuki wakala Matunda?
Sura 16:68-69

Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu.

Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri
 
insects have only four legs
Hapa Biblia ilikuwa inaongelea wadudu jamii ya Locust, wana miguu minne ya kutembelea na miguu mikubwa ya nyuma ya kurukia, hivyo wanakuwa regarded kama wenye miguu 4, mikubwa ya nyuma haihesabiki

rabbits chew cud
Rabit wana tabia ya kunya kinyesi ambacho kiko less digested then wanakila mara pili

bats are birds
Hapa ilikuwa inaelezewa wanyama wanaofaa kuliwa na wasiofaa kuliwa, so it was easy kumuweka popo kwenye kundi la wanyama warukao kama vile ndege
Eti miguu ya nyuma haihesabiki sa tuite mikono au mkia hahaha. Eti sungura ankula mavi yake, hii elimu mmeitoa wapi, toka lini sungura akala mavi yake hahaha. dogo Kakende the Bible wrong? After all, rabbits are not ruminants. They do not have four-compartment stomachs. How can they "chew the cud"? Eti popo awekwe kwenye kundi la ndege hahaha dogo bats and birds are different. Bats are mammals closely related to primates. It takes more than wings to make something a bird. Kubali tu we hujui kitu.
 
Mkuu Adiosamigo, Tangu lini Nyuki wakala Matunda?
Sura 16:68-69

Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu.

Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri
Kakende

Eleza vipi nyuki wanatengeneza asali. Hatua kwa hatua.

Je nyuki wanapata malighafi ya kutengeneza asali kwenye vinyesi kama "kitimoto"?

Je nyuki wanapata malighafi kutoka migodi ya madini, majabali? Au kwenye miti ya matunda/maua?
 
Mkuu Adiosamigo, Tangu lini Nyuki wakala Matunda?
Sura 16:68-69

Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu.

Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri
Link Read or download The Miracle Of The Honeybee
 
Kwa hiyo mkuu inabidi tusubiri hadi Dume la Bakteria, Virus na Whiptail Lizard mpaka wagunduliwe, Mkuu unaweza kuniambia Bioogy ulikuwa unapata marks ngapi?

Mkuu pia niambie hizo nguzo zinazoshikilia Mbingu/mawingu
dogo most bacteria have a genome that consists of a single DNA molecule lazima ufahamu vile. Bacteria engineered to copy DNA with synthetic base pairs. Unataka kujua nilipata marks ngapi kwenye Biology, nadhani nimeisha kujibu wewe hujui Biology kuliko mimi ndio mana ukasema sungura anakula mavi yake hahaha.
 
Mkuu Adiosamigo, Tangu lini Nyuki wakala Matunda?
Sura 16:68-69

Na Mola wako Mlezi amemfunulia nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika miti, na katika wanayo jenga watu.

Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizo fanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri
Hahaha kweli nimemaini wewe Kakende hujui kitu, sa nyuki wanatengenza vipi asali kama hawali matunda.
 
Last edited by a moderator:
Kakende

Eleza vipi nyuki wanatengeneza asali. Hatua kwa hatua.

Je nyuki wanapata malighafi ya kutengeneza asali kwenye vinyesi kama "kitimoto"?

Je nyuki wanawata malighafi kutoka migodi ya madini, majabali? Au kwenye miti ya matunda/maua?
Well said, brother.
 
.......................,kama ni uislam hapa Tanzania hakuna kuna watu tu wanaojiita waislam na trend inavyoenda kila siku unazidi kupoteza nguvu,kungekuwa na uislam tungeshayaona ya Nigeria

Mkuu Uislamu hauko Nigeria Peke yake! Uislamu uliopo Tanzania ndio unaotuongezea wafuasi pale kichangani kila siku. Wewe baki kama ulivyo, no body can shake the faith. Nyie endeleeeni kuowana wanaume kwa wanaume, pigeni mziki yote kanisani hata ya YAMOTO BAND, lakini mwenye akili timamu anauona ukweli na kuufata.
 
ndugu MZIMU, hawa wakristo noma sana wanamuita mungu wao shoga, mwehu sa ukisha ona wamefikia kumuita Yesu vile na wao wanasema ndio mungu wao. Sijui kama watawacha kufungisha ndoa za kishoga kanisani. Bibilia yao imekaa kishoga shoga tu, we huoni wanashidnwa kujibu maswali yangu wanakimbia.
 
Great Thinkers, tuache kujadili mada juu ya mada. Mada hapa ni msimamo wa Papa Fransis juu ya kikomo cha uhuru wa kujieleza. Hii ni changamoto aliyoitoa Papa kwa dunia nzima. Tusirukie kukashifiana na kujadili dini ipi bora zaidi, hakuna majibu yatakayokubalika mpaka wewe na mimi tupotee duniani.

Binafsi naungana na Papa Fransis 100%. Kila uhuru lazima uwe na kikomo. Ameeleza kwa mfano mzuri wa kueleweka kwa kila mtu. Kwanini um-provoke mtu kwa maksudi? Akichukia unapata faida gani? Kama kuna faida inapatikana basi kuna hasara pia inaweza kutokea. Wanadamu tunatofautina sana viwango vyetu vya uvumilivu. Mifano ipo mingi hata kwa makabila yetu hapa Tanzania. Utani wanaofanyiana Wazaramo ukifika kwa Wakuria unazua majeraha au hata kifo. Unadhni Wafaransa wale hawajui hili? Mataifa ya magaharibi mara kadhaa wametumia mbinu hii ya kuwa-provoke mataifa mengine wapate kisingizio cha kuwavamia au kuwawekea vikwazo (rejea chokochoko za Marekani kwa China, Urusi na Iran).

Papa Fransis hapa anatutaka tuweke mipaka ya uhuru, kuheshimiana na kuvumiliana. Usifanye jambo ambalo litamchukiza mwenzako hata kama kwako wewe ni la kawaida. Tujifunze kuacha kila mtu aendelee na mambo yake ili mradi haingilii imani wala uhuru wa mwingine. Waislamu wanaamini kuchapisha picha achilia mbali kikaragosi cha kiongozi wao wa dini si sawa; basi tusichapishe kwani kwa kufanya hivyo tutavuruga amani yetu.

Nikirejea kwetu hapa Tanzania, nashangazwa sana na wahubiri wa dini wanaokashifu dini nyingine. Nimeona wengi. Nilichogundua wengi wao wana elimu ndogo sana (elimu ya dini zao na hata elimu ya kidunia). Ni waganga njaa 100%. Ni kama kikundi kinatumwa kwa nia fulani nyuma ya pazia. Kifupi hawajitambui. Ajabu kubwa naanza kuwaona hata hapa JamiiForum. Sidhani mtu mwenye elimu ya kutosha atakuja kuporomosha matusi ya kudhihaki dini nyingine. Sidhani mtu wa daraja la Padri wa Katoliki aandike "ubahau" kama wa wachangiaji wengi humu. Matusi na kukariri kifungu kidogo cha Biblia au Quran hakukufanyi wewe mwema duniani na naamini kwa imani yangu (mimi Muislamu 100%) hakukusaidii kuipata pepo. Elimu ya dini ni pana sana. Ni vigumu kupata umahiri katika elimu ya dini. Watu wachache walio mahiri katika dini huwezi kuwakuta wakikashifu dini nyingine.

Ndugu zangu great thinkers, sisi basi tuwe daraja la kuifanya dunia salama ambapo kila mtu ataabudu anachoamini bila kudhihakiwa wala bugudha.
 
Hata mungu wenu mmesema hana akili iwe mimi, hebu jisomee mwenyewe hapa bibilia za kiyendawazimu zinasema nini. Marko 3:20-21, [SUP]20 [/SUP]Yesu akarudi nyumbani. Umati wa watu ukamfuata tena, hata yeye na wanafunzi wake wakashindwa kula chakula. [SUP]21 [/SUP]Ndugu zake walipopata habari walikuja kumchukua kwa maana watu walikuwa wakisema, “Amerukwa na akili.”
Sijui hii aibu mtaificha wapi, kuna mtu mwenye akili anamuita Mungu wake hana akili, ajabu kweli kweli.

Ungekuwa mzima kifikra na Mwenye akili, ungeelewa MTU yoyote WA kawaida mwenye akili timamu kwa kadri maneno ya Yesu lazima ajiulize Kama Yesu sio kichaa.
"Aliyeniona Mimi amemwona Baba" "Mimi na Baba Tu wamoja " "hakuna amjuaye Mwana ila Baba na hakuna Amjuaye Baba isipokuwa Mwana na yule ambaye mwana amependa kumfunulia " hayo naneno hayawezi kutoka kwenye kinywa cha binadam Mwenye akili timamu labda Kama ni Mungu.
Na kweli Yesu hakuwa kichaa Bali alikuwa Mungu. Wale waliokuwa wameshindwa kuitambua kweli hiyo ndiyo walimwona kichaa.
Walikuwa na akili za kufikiri sio Kama wewe...
 
Great Thinkers, tuache kujadili mada juu ya mada. Mada hapa ni msimamo wa Papa Fransis juu ya kikomo cha uhuru wa kujieleza. Hii ni changamoto aliyoitoa Papa kwa dunia nzima. Tusirukie kukashifiana na kujadili dini ipi bora zaidi, hakuna majibu yatakayokubalika mpaka wewe na mimi tupotee duniani.

Binafsi naungana na Papa Fransis 100%. Kila uhuru lazima uwe na kikomo. Ameeleza kwa mfano mzuri wa kueleweka kwa kila mtu. Kwanini um-provoke mtu kwa maksudi? Akichukia unapata faida gani? Kama kuna faida inapatikana basi kuna hasara pia inaweza kutokea. Wanadamu tunatofautina sana viwango vyetu vya uvumilivu. Mifano ipo mingi hata kwa makabila yetu hapa Tanzania. Utani wanaofanyiana Wazaramo ukifika kwa Wakuria unazua majeraha au hata kifo. Unadhni Wafaransa wale hawajui hili? Mataifa ya magaharibi mara kadhaa wametumia mbinu hii ya kuwa-provoke mataifa mengine wapate kisingizio cha kuwavamia au kuwawekea vikwazo (rejea chokochoko za Marekani kwa China, Urusi na Iran).

Papa Fransis hapa anatutaka tuweke mipaka ya uhuru, kuheshimiana na kuvumiliana. Usifanye jambo ambalo litamchukiza mwenzako hata kama kwako wewe ni la kawaida. Tujifunze kuacha kila mtu aendelee na mambo yake ili mradi haingilii imani wala uhuru wa mwingine. Waislamu wanaamini kuchapisha picha achilia mbali kikaragosi cha kiongozi wao wa dini si sawa; basi tusichapishe kwani kwa kufanya hivyo tutavuruga amani yetu.

Nikirejea kwetu hapa Tanzania, nashangazwa sana na wahubiri wa dini wanaokashifu dini nyingine. Nimeona wengi. Nilichogundua wengi wao wana elimu ndogo sana (elimu ya dini zao na hata elimu ya kidunia). Ni waganga njaa 100%. Ni kama kikundi kinatumwa kwa nia fulani nyuma ya pazia. Kifupi hawajitambui. Ajabu kubwa naanza kuwaona hata hapa JamiiForum. Sidhani mtu mwenye elimu ya kutosha atakuja kuporomosha matusi ya kudhihaki dini nyingine. Sidhani mtu wa daraja la Padri wa Katoliki aandike "ubahau" kama wa wachangiaji wengi humu. Matusi na kukariri kifungu kidogo cha Biblia au Quran hakukufanyi wewe mwema duniani na naamini kwa imani yangu (mimi Muislamu 100%) hakukusaidii kuipata pepo. Elimu ya dini ni pana sana. Ni vigumu kupata umahiri katika elimu ya dini. Watu wachache walio mahiri katika dini huwezi kuwakuta wakikashifu dini nyingine.

Ndugu zangu great thinkers, sisi basi tuwe daraja la kuifanya dunia salama ambapo kila mtu ataabudu anachoamini bila kudhihakiwa wala bugudha.

Tukiacha unafiki ndipo tutaokoa dunia na sio unafiki WA ati MTU asichoree vikaragosi.

Issa kuwa Yesu ni kashfa kwa Yesu wangu.
Hilo tendo la kumsilimisha Yesu kuwa issa ndiyo chanzo cha kashfa za Yesu sio Mungu na upuuzi mwingine mwingi
Sasa jaribu Kumsomesha Muislam kwamba ahubiri kadri ya dini na character wake hawezi maana Isipomfanya Issa ni Yesu, Issa kwa Mkristo Hana sifa ya utume wala mwana WA Mungu.
Tuseme ukweli pasipo kuficha ukweli halisi.
 
Mkuu Uislamu hauko Nigeria Peke yake! Uislamu uliopo Tanzania ndio unaotuongezea wafuasi pale kichangani kila siku. Wewe baki kama ulivyo, no body can shake the faith. Nyie endeleeeni kuowana wanaume kwa wanaume, pigeni mziki yote kanisani hata ya YAMOTO BAND, lakini mwenye akili timamu anauona ukweli na kuufata.

Kama wafuasi tu kwa Tanzainia jipe moyo,lakn ki uhalisia haizidi hata mikoa sita yenye wafuasi wengi wa mudy kama ipo zaidi ya sita iweke na swala la kuoana wanaume kwa wanaume hata Afghanistan ndio utamadun wao tena vitoto vidogo,sisi kupiga mziki ni sehem tu ya swaga zetu kwa mungu wetu lazma tumuimbie na kucheza, wewe unakuuma nn.
 
Islam is the fastest growing religion in Europe, America, Asia and Africa. Pale Msikiti wa Kichangani kila siku Wakristo wake kwa waume wanaslimu. Chuki haita wasaisaidia chochote, Someni Uislamu muuelewe. Proganda zenu za Ugaidi zinazidi kuwafanya watu wawadharau na kujiunga na Uislamu.
atheism is the fastest growing non religion comunity all over the world especially western world.
 
dogo; You're just making excuses to protect that self delusional bubble you live in. Oh, that's hilarious but you come across as very angry, pretty psychotic. What hypocrites, you are so terrified that someone might expose your delusion. Christians are paranoid freaks who are always afraid of the truth.

Hivi inawezekana binadam anayefikiri vema akawa Muislam ?
Ninavyofahamu uislam unahitaji MTU asiyefikiri ili kuuifuata...
 
Kama wafuasi tu kwa Tanzainia jipe moyo,lakn ki uhalisia haizidi hata mikoa sita yenye wafuasi wengi wa mudy kama ipo zaidi ya sita iweke na swala la kuoana wanaume kwa wanaume hata Afghanistan ndio utamadun wao tena vitoto vidogo,sisi kupiga mziki ni sehem tu ya swaga zetu kwa mungu wetu lazma tumuimbie na kucheza, wewe unakuuma nn.

atheism is the fastest growing non religion comunity all over the world especially western world.

No! Homosexuality is fastest growing faith trend in the Western religions especially Christianity among priests, nuns, Sunday schools kids and the whole community at large to the extent of legalizing same sex marriage in their churches.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom