Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

eBible
Login
Follow Question
0
How should we interpret, "There will be two men in one bed; one will be taken, the other will be left"? Is this referring to homosexuality?
I tell you, in that night there shall be two men in one bed; the one shall be taken, and the other shall be left. - Luke 17:34
Luke 17:34

ESV - 34 I tell you, in that night there will be two in one bed. One will be taken and the other left.
On one bed is right for men to men in case of sleeping broo
 
Jamanii

Ukristo upo kwenye Biblia hauko ukatoliki.

Katoliki Wana vitabu vyao vya kuabudu.

Katoliki Wana ibada zao Hata katika Maandiko hazipo kama Ijumaa ya majivu

Katoliki Wana Bikira Maria mama wa Mungu ambae alipalizwa mbinguni na wakati kaburi la Maria mkewe Joseph lipo pale mpaka Leo.

Katoliki Wana ibada nyingi wanazo zijua.tofauti na Biblia

Hivyo ni Sawa tuu maana wanaongozwa na ma Papa wa vatikani kama ndo Mungu wao.Yaan wanamnyenyekea binadamu mwenzio kama Mungu kweli.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Hakika chomoka humo ndugu ukwepane na Moto wa shetani Kaka.

Maana Biblia inasema ikimbie ibada ya Sanamu.

Biblia ina maelekezo yote katika kusali kusifu kutoa sadaka na kila kitu.

Lakini humo ni udosholele tuu ndugu.

Kikubwa Okoka uwende mbinguni Kwa kushika ya Mungu
 
Two men in one bed! One will be taken, it means not to allow the activity to continue. Definitely, it means homesexality. Sometimes in case of problems two men in one bed is rarely possible.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Musa, Yosef and Yesu Mjudea wote hawakutoka misri..kule walikuwa ukimbizini
Musa hakuwa mkimbizi pale. Jina lake ni la kimisri, alizaliwa Misri, katika ukoo waliowahi kuishi kule karne .

Ukijisomea kidogo tu katika historia na ukosoaji wa dini, utawakuta wale wanaosema eti Musa aliendeleza kwa namna fulani ujumbe wa Farao Ekhnaton.... (yaani imani ya mungu mmoja)
 
Umenielewa vibaya mkuu...sijamaansha haya maneno ni ktk maandko laaa...namemwambia huyo jamaa arejee Kwenye vtabu vitukufu ili aondoe shaka juu ya Muumba wake

Kuhusu huo msemo namaanisha,Mungu si binadamu au papa si Mungu

Sasa kwa nini mnaenda kufuta dhambi kwa papa inamaana yeye si Mungu wa pili au akitoka Mungu Yesu si papa anafuata
 
Musa hakuwa mkimbizi pale. Jina lake ni la kimisri, alizaliwa Misri, katika ukoo waliowahi kuishi kule karne .

Ukijisomea kidogo tu katika historia na ukosoaji wa dini, utawakuta wale wanaosema eti Musa aliendeleza kwa namna fulani ujumbe wa Farao Ekhnaton.... (yaani imani ya mungu mmoja)
Majina sio lazima yahusiane na kabila(race) mkuu..kuna Wayahudi kibao wanaishi Iran, Syria, Urusi ya kisovieti, marekani na wana majina yanayoshabihiana na hayo maeneo wanayoishi si ajabu musa kuwa na jina la kimisri.. Kipindi kile wahamiaji(ama wakimbizi ama mateka) ilikuwa si rahisi sana kuchanganyika na wenyeji(kuzaliana) kama ilivyo leo kwa hiyo walikuwa wanajulikana tu hawa ni watumwa Wayahudi hata kama wamekaa hiyo nchi miaka sabini na ndo maana musa alichagua kurudi na “ndugu” zake kaanani badala ya kubaki Misri alikozaliwa na kukulia.. Hali za sasa ni tofauti warundi ama wakongo wakikimbilia Kigoma baada ya miaka sabini hakuna tena mkimbizi utawakuta sinza wamevaa kipapaa na ni wabongo kamili…
 
USIMUANGALIE MWANADAMU UTAPOTEA WEWE MTAZAME YESU ANATAKA NINI, KUMBUKA BIBLIA INASEMA MTAWATAMBUA KWA MATENDO
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

source: MailOnline
Ninachokumbuka ni kwamba, Ukatoliki ndio dini ya Magufuli na Makonda kama sikosei...sasa sijui kama watamwita huyu papa beberu la Chadema!
 
Kwamba Mashoga ni wana wa Mungu.
Mungu huyu aloumba Me na Ke??

Maandiko yako wazi, kwamba siku za mwisho dini za uongo zitajionyesha waziwazi, kwa matunda yao mtawatambua. Jiulize, tunda la kukubali ushoga ni tunda la roho kutoka dini ya kweli? Tatizo ni kwamba mna macho na masikio lakini hamtaki kuona wala kusikia, hadi siku ya mwisho iwafikie na kuwaangamiza!
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.


Yapi hayo ambayo hayaendani na biblia ambayo wanayo?
 
Mkuu.. mzee wangu ni Mkatoliki.

Ila vijana wake wote tumeamua kua wasabato .

Kilamoja alipoamua kusoma biblia aligundua yakwake.


Embu fikiria, ikiwa nihabari yakweli, alafu huyu nikiongozi mkuu wa kanisa , maana yake sasa hata zile maneno za mapadre kulawiti n.k sasa zimepata majibu..... Nikwamba sasa kanisa limeamua kuwapa nafasi wafiraji na wasagaji ,limeamua kutoa kiburi cha watu kuendelea hili sasa.

Roma ikisema maana yake Dunia inahitaj kutekeleza.

Unadhan miaka 10 ijayo tutakua na Dunia ya Aina gan???.

Kufirana na kusagana itakua nijambo lakawaida tu


ni dhambi kama dhambi nyingine. Ila hamjamwelewe Papa, hajaruhusu ndoa hizi katika kanisa katoliki, amesema waheshimiwe ni binadamu kama sisi wazinzi, wauaji, waongo, wezi, madikteta nk....ni watoto wa Mungu hata kamam ji wadhambi, akasema wana haki ya kuwa na familia pia. Kwangu mi namwona Papa yuko swa sana....tumwachie Mungu atahukumu.
 
Back
Top Bottom