Hilo ni swali tofauti ambalo jibu lake linafanyiwa kazi bado, lakini si Mungu huyo.
Tunaweza kujua jibu fulani si sahihi hata bila kujua jibu sahihi ni lipi, kama vile tunavyoweza kujua 10 si square root ya 2 hata bila kujua square root ya 2 ni nini.
Ungeumbwa na Mungu huyo usingepewa adhabu ya kunya karibu kila siku.
Wana siri nzito hao. Shetani umpa maagizo black papa, papa mweusi ambae ukaa chini ghorofa ya saba kwenda chini makao makuu pale vatican, papa binadamu upokea maagizo toka kwa black papa, papamtu ndie mkuu wa siasa na dini duniani na viongozi wote wa nchi zote duniani ni lazima wamuangukie papamtu. Papamtu anaunga ushoga, ushoga ni maagizo ya shetani kupitia Black Papa lengo kuharibu maadili ya jamii na kuua utu wa mwanadamu.
Narudia tena mwafrika din yako ya kweli ni mizimu yako hii din ilikuja ikaikuta mizimu hii din imekuja kwa maslai yao kwetu ili watutawale. Mizimu inamtambua mungu mmoja. Mizimu ni roho za baba zako na mama zako babu bibi na ndugu zakoo ukifa wao ndio wanakupokea narudia mizimu inatambua mungu din hizo zinapinga mizimu din hizo zinapingana wenyewe kwa wenyewe sababu ya maslai