britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,191
- 48,280
Panya Masharubu amekula nusu ya Godoro na huna la kumfanya kwakuwa paka hayupo au utamuondoa katika himaya ya mapanya wala godoro?πKatika makubaliano ya kutengeneza viota, ili maonesho ya kutafuna mahindi yafanyike na kushirikisha panya mbali mbali klutokas kaya kadhaa, kuna Kaya moja inatumia mwanya huo kulitafuna Godoro sana ! Ubaya zaidi hakuna paka! Yule panya mwenye mashurubu mengi kutoka maeneo ya kichuguu Kala nusu ya godoro
Britanicca
Masharubu ni yule mascalf πΉ
ila wizo kwa code hujambo ππππMasharubu ni yule mascalf πΉ
Panya mbalimbali- royal family za mbogamboga eg kama unatoka Moro pale mdahaula kwa mbele
Kaya iliyokula godoro sana- ni familia ya dully Sykes πΉπΉ
πΉπΉπΉ Wambea code kama hizi ni kuteleza..!!ila wizo kwa code hujambo ππππ
Mwenzio nilitoka patupu kumbe binti yangu uko deep hivi.. mweeh π€©π€©π€©π€©
Panya anatafuna hadi mtungi na kula mbegu zote zilizohifadhiwa ndani ya mtungi asee!!Panya ni viumbe waharibifu sana. Tunatakiwa kufuga paka wakali wa kuwadhibiti panya. Kuna panya hawategeki kwa mitego au sumu. Hawa ndiyo panya wabaya zaidi kwenye makazi yetu. Uharibifu wao siyo wa dunia hii.
Tena sahv km hauna dali panya wanapanda kwene kenchi kisha wanajiangushia kwene kitanda , wakifeli makadilio ya kutok juu, bas huludia tena hilo zoez mpka wakunasePanya ni viumbe waharibifu sana. Tunatakiwa kufuga paka wakali wa kuwadhibiti panya. Kuna panya hawategeki kwa mitego au sumu. Hawa ndiyo panya wabaya zaidi kwenye makazi yetu. Uharibifu wao siyo wa dunia hii.