wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 298
Hey watch what your typing hujui situation iliokuwepo hapo so usilete comments zako mbovumbovuHivi wanaume wa Dar mna nini cha kujivunia hasa? Yaani mahafali inatetemeshwa na watoto 20? Hata kama wakiwa na silaha za jadi haiwezekani sherehe nzima mtekwe mnyang'anywe simu zenu na nyie kweli mnazisalimisha kwa panya road, shame on you wanaume wa Dar!