Panya road wavamia sherehe za mahafali Msongola

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,140
Vijana wakihuni wapatao zaidi ya 20 wakiwa na silaha kama mapanga na visu wamevamia sherehe ya mahafali katika eneo la Msongola wilaya ya ilala Leo jioni majira ya saa kumi.

Wamefanikiwa kuwapora watu waliokuepo hapo simu zao na mikoba.

Wengi wa panya rodi hao ni watoto.
Mgambo aliyekuepo kama mlinzi wa sherehe hiyo akishirikiana na wananchi wamefanikiwa kumkamata mmoja kati ya vibaka hao na wengine wakifanikiwa kutoroka.

Chanzo: Ndugu yangu aliyekuwepo eneo la tukio.
 
Vijana wakihuni wapatao zaidi ya 20 wakiwa na silaha kama mapanga na visu wamevamia sherehe ya mahafali katika eneo la Msongola wilaya ya ilala Leo jioni majira ya saa kumi.
Wamefanikiwa kuwapora watu waliokuepo hapo simu zao na mikoba.
Wengi wa panya rodi hao ni watoto.
Mgambo aliyekuepo kama mlinzi wa sherehe hiyo akishirikiana na wananchi wamefanikiwa kumkamata mmoja kati ya vibaka hao na wengine wakifanikiwa kutoroka.

Chanzo.Ndugu yangu alikuepo eneo LA tukio.
Hivi wanaume wa Dar mna nini cha kujivunia hasa? Yaani mahafali inatetemeshwa na watoto 20? Hata kama wakiwa na silaha za jadi haiwezekani sherehe nzima mtekwe mnyang'anywe simu zenu na nyie kweli mnazisalimisha kwa panya road, shame on you wanaume wa Dar!
 
Vijana wakihuni wapatao zaidi ya 20 wakiwa na silaha kama mapanga na visu wamevamia sherehe ya mahafali katika eneo la Msongola wilaya ya ilala Leo jioni majira ya saa kumi.
Wamefanikiwa kuwapora watu waliokuepo hapo simu zao na mikoba.
Wengi wa panya rodi hao ni watoto.
Mgambo aliyekuepo kama mlinzi wa sherehe hiyo akishirikiana na wananchi wamefanikiwa kumkamata mmoja kati ya vibaka hao na wengine wakifanikiwa kutoroka.

Chanzo.Ndugu yangu alikuepo eneo LA tukio.
Wazee wa inteligenzia mpo wapo jamani?
 
Mtoto ni mtoto Tu hata akiwa na panga au rungu; uoga Tu wa wanaume wa Dasalamu
 
Yaani Mimi najiuliza km wametokea watoto 20 na kundi linawatu labda 100 ndo limevamiwa..ivi kweli proportionality iko wapi km hapo?
Kundi la watu 100 hakuna hata mmoja mwenye Silaha e.g. Kisu
Madogo 20 wana Silaha Zakutosha.
Hapo ndio utajua nini maana ya Proportionality..
 
Yaani Mimi najiuliza km wametokea watoto 20 na kundi linawatu labda 100 ndo limevamiwa..ivi kweli proportionality iko wapi km hapo?
Unajuaje kama hao watu 100 walikuwa wote wanaume!? harafu hao wanaume walienda kupigana au walienda kwnye sherehe!!?
 
Ivi mkiwaendea 2 kwa pamoja na kumbana mikono itashindikana? Tatizo tumekuwa waoga sana
 
Tatizo wabongo hatuna umoja. Tukiweka uwoga pembeni Hawa watoto si kitu. Ni mara ngapi tushasikia jambazi kanyang'anywa silaha na raia wakiwa mikono mitupu.
Intelijensia ya polisi inaonesha inafeli kwa hawa panya rodi.
 
Dar watoto wanavamia Sherehe na kupora Simu. ..... Wanaume wa Dar mnadhalilisha sana Taifa.
 
Back
Top Bottom