Yaani viti vilikuwepo,chupa zilikuwepo,viatu tens vyenye solo ambavyo ukimlamba panya road mmoja tu kwa kiatu kimoja huku kikngine ukikiandaa,unaweza okoa Mali nyingi sana hapo kwenye huo mteko.
Baada ya Muda hawa Madogo wataanza kuwala watu Kiboga live huku mnatizamana.Maana mnawalea wenyewe kisha mnalalamikia Serikali
Hivi hata hawa madogo kweli mnahitaji msaada wa Polisi?
Dar iliuwa Zamani ila sasa naona ile tathmini ya DAR kuongoza kwa wale walio sio inadhibitisha.
Watu kila siku ni kulalamika tuuu,maana DAR ndio jiji lenye vijana wa Kiume kulalamika kuliko wa kike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.