View attachment 353676
Baadhi ya panya road waliokamatwa kipindi cha Kova, sikui kama walifikishwa mahakamani
Panya road wapo kila sehemu, Mimi panya road wanaoniogopesha ni wale ambao wapo kwenye geti la JKT makao makuu pale Mlalakuwa Mikocheni. Haiwezekeni miezi 9 wameweka kambi pale daraja la Mlalakuwa kama unaenda Kawe, na wasifanywe chochote. Wale JKT sijui wapoje! Kila siku watu wanaibiwa na wanalalamika lakini Jeshi linakaa kimya kwamba ni kazi ya Polisi. Polisi wenyewe wanashinda pale wakikamata bodaboda na bajaj huku watu wanalizwa. Serikali itusaidie.
Mitaani siku hizi Panya ndo wanatawala. Baada ya Kova kuondoka walishangilia balaa. Mia
https://www.facebook.com/