Makumbusho sehemu gani walipo chakaza?Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea.
Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar.
Tukimbilie wapi?
View attachment 353676
Baadhi ya panya road waliokamatwa kipindi cha Kova, sikui kama walifikishwa mahakamani
Panya road wapo kila sehemu, Mimi panya road wanaoniogopesha ni wale ambao wapo kwenye geti la JKT makao makuu pale Mlalakuwa Mikocheni. Haiwezekeni miezi 9 wameweka kambi pale daraja la Mlalakuwa kama unaenda Kawe, na wasifanywe chochote. Wale JKT sijui wapoje! Kila siku watu wanaibiwa na wanalalamika lakini Jeshi linakaa kimya kwamba ni kazi ya Polisi. Polisi wenyewe wanashinda pale wakikamata bodaboda na bajaj huku watu wanalizwa. Serikali itusaidie.
Mitaani siku hizi Panya ndo wanatawala. Baada ya Kova kuondoka walishangilia balaa. Mia
KwishneyMakonda hafanyi Kazi hadi baba Jesca amshinikize
DuuuKwa zama hizi za Magu akiendelea kubana itabidi tu tumpate mzungu vinginevyo tutaibiwa kweupe
Itabidi paaaa ihusike mapemaaaa
Tanganyika Arms am soon visiting you