Panya Road warejea kwa kasi jijini Dar. Makonda umelala?

Makonda mambo yamemzidi Ombaomba wamerudi, Panya road ndio hao, walimu wanataka kupanda bure mwendokasi , fly over Ubungo watu wanalala Na kunya, kituo mwendokasi kivukoni watu wamehania wanalala, uchafu dar ndio makao makuu Masikini Makonda Jiji gumu hili
Kama aliyekuwa anawatisha panya road alikuwa Kova anayetakiwa kulalamikiwa siyo Makonda bali ni Sirro.
 
Back
Top Bottom