panyaroad

 1. tatum

  Wakati Dar tunasumbuana na 'Panya road' huko Mbeya wameibuka 'Wakorea weusi'

  Wakati katika jiji la Dar es salaam vyombo vya dola vinahangaika kuhakikisha kabisa kuwa vijana wanaojiita 'Panya road' wanatokomezwa kabisa ambao ni maarufu sana maeneo ya Yombo,Buza na baadhi ya maeneo ya Mbagala na Mburahati basi Mkao wa Mbeya ambao inasadikika kuwa una rais wao waliemchagua...
 2. IZENGOB

  Panya road waibua taharuki Mbagala

  Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe. Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu...
 3. Informer

  Panya Road warejea kwa kasi jijini Dar. Makonda umelala?

  Leo wameichakaza Makumbusho na inaonekana trend itaendelea. Wizi wa mchana kweupe wa kundi la vijana takribani 50 wakiwa na silaha za jadi unaonekana kulishinda Jeshi la Polisi jijini Dar. Tukimbilie wapi?
Top Bottom