Panya road Alert !

Kweli ffu walivyo na makeke wamefail kuwahandle

Hivi kamanda Gewe,Ntobi,Tosi wako wapi watunusuru na hawa panya road
Every time nikiona thread ya panya road, watoto wa mbwa n.k huwa natoa wito kwa serikali iwachukue vijana wote wanaozagaa mijini iwapeleke JKT, wakalime. Baada ya miaka mitano, inawaachia wachache wache na kuwapa vinua migongo vyao waanze miradi ya uzalishaji. Hao vijana ndo wale wanaitwa 'bomu linalo subiri kulipuka' na hivyo ni bora wakafunzwa uzalendo ili wasilipuke kama wanavyoanza kuonyesha dalili.
 
Jamani Kova si alisema alishadhibiti hili kundi la hawa panya? Hawa panya wakisambaa nchi nzima itakuwa balaa, waangamizwe mapema vinginevyo tutakiona cha moto
 
Kutokuwa na ajira hata za kipato cha chin, plus unywaji wa pombe kali wakijumlisha na ugolo, bangi na mirungi na muda nwingi kukesha kwenye disco vumbi(vigodoro). Mi nadhani serikali izuie kwanza aina hii ya disco, pili ibuni miradi anbayo itaweza kuwaabsorb vijana wengi hata kama watawekwa katika kundi la unskilled labour ili waweze kuwa busy na uzalishaji na kujipatia chochote. Tanzania tuna maeneo mengi ambayo Ni uncultivated, tuweke sheria ambazo zitawabana wawekezaji katika swala la kuajili wazawa kwanza yote hata yatasaidia katika utokomezaji wa vikundi kama hivi pasipo kutumia nguvu nyingi sana.
 
Hatua inaanzia kwa wananchi badae ndio polisi watafwata maana bila kutoa roho ya panya moja bado mtakuwa mnapigia mbuzi gita
 
'yah,ni kweli walipita nimeskia Kinyerezi mwisho na maduka yalifungwa na wenye biashara zao za nje walilazimika kukimbia maeneo yao pia,SAMAKI MKUNJE'
 
Jamani Kova si alisema alishadhibiti hili kundi la hawa panya? Hawa panya wakisambaa nchi nzima itakuwa balaa, waangamizwe mapema vinginevyo tutakiona cha moto

ha ha ha haaaa, kova kakamata mende road anatuambia panya.kumbe walishapenya zamani wakatokea upande mwengine...
 
Kutokuwa na ajira hata za kipato cha chin, plus unywaji wa pombe kali wakijumlisha na ugolo, bangi na mirungi na muda nwingi kukesha kwenye disco vumbi(vigodoro). Mi nadhani serikali izuie kwanza aina hii ya disco, pili ibuni miradi anbayo itaweza kuwaabsorb vijana wengi hata kama watawekwa katika kundi la unskilled labour ili waweze kuwa busy na uzalishaji na kujipatia chochote. Tanzania tuna maeneo mengi ambayo Ni uncultivated, tuweke sheria ambazo zitawabana wawekezaji katika swala la kuajili wazawa kwanza yote hata yatasaidia katika utokomezaji wa vikundi kama hivi pasipo kutumia nguvu nyingi sana.

at least umeamua kuja na suggestions. Huu ni mzigo unaosababishwa na maouvu ya serikali,

ndo imewaandaa vijana kufika hapo,,
tunahtaji rais mzalendo anaetizama vijana mtaani wasio na ajira kama wanae na kuwajengea mazingira ya kujiajiri.

BOKO HARAM na ALSHAABAB CHIMBUKO LAKE NI KAMA HAWA, WASHAKATA TAMAA NA MAISHA NA HAWAIONI FUTURE YAO, NI RAISI SANA KUTUMIWA NA WATU WASIOITAKIA MEMA NCHI HII NA KUUNDA MILLITANT GROUPS.!,

I TELL U.
VIONGOZI WAAMKE SASA KUOKOA JAHAZI NA SI KUKESHA ANGANI WAKIKENUA.,,NA WENGINE BUNGENI WAKIJAMBAJAMBA.
 
Hahaha kuna watu wanashabikia vita leo panya road tu wanawatoa kamasi..
 
Kungetakiwa kuwe na panya road special thread.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Serekali yetu ifanye kila liwalo iumalize UPUUZI huu na kuvikomesha kabisa kwani ni rahisi kwa vikundi hivi kuimarika vikaja toa upinzani wa kweli kwa jeshi letu la polisi, PLZ MWENYE FUNUNU YA LEO *"29/MAY"* KUHUSU WAPUUZI HAWA NA NYENDO ZAO
 
kikundi hicho cha kitambo mkuu wananchi washa report swrikali za mtaa na kituo cha polisi huko lakini hakuna hatuaaa yoyote iliyochukuliwa mpaka sahvI wamekuaaa kibaoooo na wengi
 
leo kuna taarifa vijana hawa hatari wanashambulia maeneo ya temeke outskirts wakazi wa huko wawe makini juu hawa vijana hatari!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom