Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,657
- 20,991
Kinyerezi kubwa mkuu. lisemwalo lipoo.Mi ni mkazi wa Kinyerezi. Sijasikia kitu kama icho.
Mi ni mkazi wa Kinyerezi. Sijasikia kitu kama icho.
Hivi malengo ya hii midudu ni yapi?
Mi ni mkazi wa Kinyerezi. Sijasikia kitu kama icho.
Ili nchi isitawalikeHivi malengo ya hii midudu ni yapi?
Kupeana taarifa mbaya kama hizi panya road kutasababisha wengi wawe wanakunya ndani usiku ie self contained ndani choo cha shimo.Wazo zuri sana kupeana taarifa, hawa panya kila kona wanasambaa kama magonjwa ya milipuko