Panya road Alert !

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,425
20,462
kuna tetesi kwamba vijana hawa hatari juzi na jana walikuwa wanashambulia kinyerezi na vitongoji vyake,mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza zaidi pia; n.b:

Kwa sababu ni moving group ni bora tukawa tunajulishana au kupeana directins wapi kwa muda huu wanashambulia pia iwe rahisi kwa vyombo vya USALAMA kuwafuatilia!!
 
Hii ishu ya kutowadhibiti hawa panya mwisho watasambaa nchi nzima.
 
Wazo zuri sana kupeana taarifa, hawa panya kila kona wanasambaa kama magonjwa ya milipuko
 
Wakuu, baada ya kutoka town, hatimaye nimeconfirm kama hao viumbe walipita kinyerezi maeneo ya kibaga mapema jana.

Na walifanya tishio la kunyang'anya mali za watu hapa kinyerezi mwisho wakati wakikamata njia ya kuelekea malamba mawili, hali iliyopelekea maduka kufungwa kwa mda.

Nawasilisha.
 
Wazo zuri sana kupeana taarifa, hawa panya kila kona wanasambaa kama magonjwa ya milipuko
Kupeana taarifa mbaya kama hizi panya road kutasababisha wengi wawe wanakunya ndani usiku ie self contained ndani choo cha shimo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom