Kilangalanga high school mnafuga mapanya road au tuwaeleweje?

sosunyo

New Member
Jun 17, 2023
4
2
Wadau hii shule ya kilangalanga wameamua kufuga majambazi.

Juzi tu mwanafunzi mmoja ambae alipewa adhabu na viranja kutokana na tabia yake ya wizi eti ameamua kuwakimbiza watu mabwenini akiwa na panga na kuleta taharuki kubwa shuleni.

Hivi kweli mwalimu mkuu na walimu wengine mpo serious?

Mwanafunzi amechukua fyekeo na kulikata kisha kulinoa mpk kugeuka panga na kuanza kukata wanafunzi wenzie halafu mpo tu mnashindwa kumpeleka polisi huko akataje panya road wenzake asaidie polisi?

Kuwafundisha watoto hamfundishi, watoto wanakomaa kujisomea wenyewe halafu nyie hata kuwalinda tu kuhakikisha wanasoma katika mazingira salama kumewashinda pia.

Kuna vitu havistahamiliki watoto wanakimbia nyumba za jirani kuomba msaada walimu ambao ndio walezi wa hawa watoto wala hamna habari mnamuacha tu huyo mwanafunzi jambazi anazurura bila hatua yoyote!

Waziri na wadau wa elimu tafadhali nyoosheni hii shule kwani sasa imekuwa hatari tupu kwa usalama wa wanafunzi!
 
Mwalimu kuna muda ni hakimu, kuna muda ni askari, kuna muda ni askofu/sheikh.

Lawama zote kwao
 
Watoto wa siku ronyaronya sana, mtoto mmoja kukimbiza bweni zima la vijana ni ujinga mkubwa sana, huyo wangemlia timing wampe kichapo Cha mbwa Koko mpaka akili imkae sawa ,siwezi kuelewa kijana mmoja kufukuza vijana 30 kisa ana fyekeo...

Enzi zetu hakuna mjinga angethubutu huu upuuzi, Angekua ashapumzika futi 6 kitambo sana

Watoto siku izi ronya sana

Shenzi
 
Ila mkuu hata kama ni ww ungekuwa mwalimu shuleni hapo ungeenda kuzuia hizo bapa Kwa mikono?......chakufia?
 
Hii kama comedy hivi!
Mwanafunzi mmoja mwenye fyekeo-panga afurumushe bweni zima?! Au Bweni la girls?? Kama ana huo uwezo basi hata walimu atawakimbiza watakimbia😂
 
Wadau hii shule ya kilangalanga wameamua kufuga majambazi.

Juzi tu mwanafunzi mmoja ambae alipewa adhabu na viranja kutokana na tabia yake ya wizi eti ameamua kuwakimbiza watu mabwenini akiwa na panga na kuleta taharuki kubwa shuleni.

Hivi kweli mwalimu mkuu na walimu wengine mpo serious?

Mwanafunzi amechukua fyekeo na kulikata kisha kulinoa mpk kugeuka panga na kuanza kukata wanafunzi wenzie halafu mpo tu mnashindwa kumpeleka polisi huko akataje panya road wenzake asaidie polisi?

Kuwafundisha watoto hamfundishi, watoto wanakomaa kujisomea wenyewe halafu nyie hata kuwalinda tu kuhakikisha wanasoma katika mazingira salama kumewashinda pia.

Kuna vitu havistahamiliki watoto wanakimbia nyumba za jirani kuomba msaada walimu ambao ndio walezi wa hawa watoto wala hamna habari mnamuacha tu huyo mwanafunzi jambazi anazurura bila hatua yoyote!

Waziri na wadau wa elimu tafadhali nyoosheni hii shule kwani sasa imekuwa hatari tupu kwa usalama wa wanafunzi!
Hebu tulia kwanza upo nasi salama usiogope, hiyo shule iko nchi gani? Sasa bila kujua iliko hatua zitachukuliwaje!
 
Hii ni ile Kama unaenda Ruvu Eeh?
Nilipita juzi juzi nikienda kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli
 
Back
Top Bottom